Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Mkimshurutisha Dr Slaa "afungue moyo atakufa bure" si umbile la moyo wa binadam kuchwa wazi.
Dr alichotakiwa kufanya si kususia sherehe wakati ule kwani kufanya vile si dhani kama kumemsaidi chochote.
Angekuwa Mwanasiasa mkomavu angelikabili swala hilo mnalodai la "kuibiwa kura" HEAD ON kwani alikuwa na nafasi yake ya kuongea pale hadharani na akaipoteza (kwa Lipumba). Pale angeutangazia umma wa Watanzania na Dunia kwa jumla kuwa anabaki kuwa Mpnzani akijua kuwa Ameibiwa na ushahid wa hilo anao.
Lakini kumsaidia hapa JF kwa maneno ya kihuruma hurma na kuomba Mungu atoe laana sidhani kama ina maana yoyote hapa. Dr ameshakubali matokeo muungeni mkono mjitaarishe kwa 2015. Kama unavyoona CDM wako mbugani wameanza kazi mapema wameacha kupoteza muda kufanya zogo na Maandamano yasiyo na Tija.
( kwa hilo pongezi kwa viongozi, wanachama na wapenzi wa CDM) Cha kuzingatia Uchaguzi kama ni Football basi Mwamuzi ni dakika 90. Msione Simba aliyenyeshewa na Mvua mkamwita Nyani CCM ni CCM dakika kumi za mwishi zitachezewa katika Goli lako na watakuja na Silaha zote "WATCH MY WORDS" tukiwepo siku hizo tutakumbushana.

Acha hizi wewe, kuiba kura ndio unasema siraha?? mbona mnafanya mchezo na maisha ya watu aisee?
 
Acha hizi wewe, kuiba kura ndio unasema siraha?? mbona mnafanya mchezo na maisha ya watu aisee?

Uthibitisho wa kuibiwa uko wapi? Wote wenye malalamiko ya Kiuchaguzi wameenda Mahakamani na baadhi ya hukumu tumezisikia Wenye haki zao wamepewa au sio?
Sasa Dr ameshindwa kufail Kesi ,Wapambe mnaileta JF! Kushindwa kupeleka Shauri mahkamani kunadhhirisha ufinyu wa uzito wa hicho kinachdaiwa.

Mahakama iliyobaki ni 2015. itakuwa CCM au CDM? (tuombe uhai)

CDM na dk. slaa walishamtambua JK pale walipoomba na kukubaliwa kuonana naye kuhusu mchakato wa sheria ya kuunda tume ya katiba mpya.

[FONT=arial
black]Uthibitisho wa kuibiwa uko wapi? Wote wenye malalamiko ya
Kiuchaguzi wameenda Mahakamani na baadhi ya hukumu tumezisikia Wenye
haki zao wamepewa au sio?
Sasa Dr ameshindwa kufail Kesi ,Wapambe mnaileta JF! Kushindwa kupeleka
Shauri mahkamani kunadhhirisha ufinyu wa uzito wa hicho
kinachdaiwa.[/FONT]
Mahakama iliyobaki ni 2015. itakuwa CCM au CDM? (tuombe uhai)

Hivi Jakaya alipozungumza na hawa madaktari alishindwa kupata solution? itakuwa laana lazima.
 
Mimi nafikiri wengi wenu ni watoto wa juzi na hamjui swifa na tarbia na utamaduni wa waTz mliojijengea tokea awali.
Kwa kweli migomo haikuanzia leo wala jana huko Tanzania. Lakin kwa waliosoma UDSM enzi za mzee Punch kulikuwa na utamaduni wa kukaa meza moja pale nkurumah hall na kuzungumza pande zote zinazokinzani iwe kuanzia asubuhi mpaka usiku na baadae mnafikia muafaka na mambo yanakwenda.

Nafikiri ni vizuri mrudie kwenye mila na desturi moja za kukaa kitako na kuongea sio kutupiana ngumi wala matusi.

Kwangu mimi naifananisha kabisa JF kama Mzee Punch wa enzi hizo pale UDSM.
Inaelekea umekimbia Nchi na sasa unaishi kama mkimbizi. Sasa sioni sababu ya wewe kutupa maoni yoyote kuhusu TZ. Wewe nchi imekushinda utatupa lipi jipya?
 
Mimi nafikiri wengi wenu ni watoto wa juzi na hamjui swifa na tarbia na utamaduni wa waTz mliojijengea tokea awali.
Kwa kweli migomo haikuanzia leo wala jana huko Tanzania. Lakin kwa waliosoma UDSM enzi za mzee Punch kulikuwa na utamaduni wa kukaa meza moja pale nkurumah hall na kuzungumza pande zote zinazokinzani iwe kuanzia asubuhi mpaka usiku na baadae mnafikia muafaka na mambo yanakwenda.

Nafikiri ni vizuri mrudie kwenye mila na desturi moja za kukaa kitako na kuongea sio kutupiana ngumi wala matusi.

Kwangu mimi naifananisha kabisa JF kama Mzee Punch wa enzi hizo pale UDSM.

Barubaru, mawazo yako ni mazuri lakini yanahitaji UTASHI ili yalete manufaa. Nchi hii ilikofikia tuna 'majambazi' hatuna viongozi. Enzi unazosema za kukaa nkrumah na kujadiliana mpaka usiku, tulikuwa na viongozi waliotambua kuwa wajibu wao ni kuwataumikia wananchi na kuwa vyeo vyao ilikuwa ni dhamana. Lakini tunaowaita 'viongozi leo' ni matapeli, wezi, majambazi, wadhulumaji na watu ambao utu na imani juu ya 'wanao waongoza' havipo kabisa!
 
Pale Arusha NMC Dr.Slaa alisema "Tutahakikisha Nchi Haitawaliki!".Hii ni kauli ya chama.
1.Ni mbinu gani mnatumia nchi isiawalike?
2.Kwanini watanzania tusimini kama CHADEMA iko nyuma ya migomo?
3.Kwanini watanzania wasiamini kuwa mmewatumia watendaji wa serikali wanaounga mkono chama ndio walio husika kumteka Dr.Ulimboka? Lengo afe ili kibano kwa serikali kiwe kikali?
4.Kauli ya Mwanza,"tutaing'oa serikali kabla ya 2015"kauli hii inaonesha mmejipanga! Sasa ni mbinu ipi kama sio kusababisha maafa ilimradi tu muingie ikulu?
5.Kama mtaingia madarakani kwa damu hamuoni nanyi mtatoka kwa damu,na kuifanya Tanzania ziwa la damu?

Nategemea majibu toka kwa viongozi kama Mbowe,Slaa,Zitto,Mnyika n.k na si matusi toka kwa washabiki wa CDM.
 
sorry mimi sio kiongozi. lakini kuna kitu usicho kijua watu wameichoka ccm kichiziii! ndiyo maan mtu akisema neno lolote kuipinga Cham Cha Mafidadi. wana msapoti sana. ukielewa hili wala utapoteza muda wa kuuliza swali kama hili.
 
Nimeipenda hii!
 
Pale Arusha NMC Dr.Slaa alisema "Tutahakikisha Nchi Haitawaliki!".Hii ni kauli ya chama.
1.Ni mbinu gani mnatumia nchi isiawalike?
2.Kwanini watanzania tusimini kama CHADEMA iko nyuma ya migomo?
3.Kwanini watanzania wasiamini kuwa mmewatumia watendaji wa serikali wanaounga mkono chama ndio walio husika kumteka Dr.Ulimboka? Lengo afe ili kibano kwa serikali kiwe kikali?
4.Kauli ya Mwanza,"tutaing'oa serikali kabla ya 2015"kauli hii inaonesha mmejipanga! Sasa ni mbinu ipi kama sio kusababisha maafa ilimradi tu muingie ikulu?
5.Kama mtaingia madarakani kwa damu hamuoni nanyi mtatoka kwa damu,na kuifanya Tanzania ziwa la damu?

Nategemea majibu toka kwa viongozi kama Mbowe,Slaa,Zitto,Mnyika n.k na si matusi toka kwa washabiki wa CDM.

Malizia na conclusion kuwa CHADEMA ndio wanapuuza mapendekezo ya madaktari na waalimu lengo likiwa ni kufanya nchi isitawalike, mbona unazunguka zunguka na kujikanyaga kanyaga? Hushindwi kusema hivyo kwani unaonekana ni mvivu saana wa kufikiri!!
 
Pale Arusha NMC Dr.Slaa alisema "Tutahakikisha Nchi Haitawaliki!".Hii ni kauli ya chama.
1.Ni mbinu gani mnatumia nchi isiawalike?
2.Kwanini watanzania tusimini kama CHADEMA iko nyuma ya migomo?
3.Kwanini watanzania wasiamini kuwa mmewatumia watendaji wa serikali wanaounga mkono chama ndio walio husika kumteka Dr.Ulimboka? Lengo afe ili kibano kwa serikali kiwe kikali?
4.Kauli ya Mwanza,"tutaing'oa serikali kabla ya 2015"kauli hii inaonesha mmejipanga! Sasa ni mbinu ipi kama sio kusababisha maafa ilimradi tu muingie ikulu?
5.Kama mtaingia madarakani kwa damu hamuoni nanyi mtatoka kwa damu,na kuifanya Tanzania ziwa la damu?

Nategemea majibu toka kwa viongozi kama Mbowe,Slaa,Zitto,Mnyika n.k na si matusi toka kwa washabiki wa CDM.

Mbinu
1. Kuhakikisha kuwa wasemaji wa serikali wanadanganya na kubadilisha kauli zao bila kukumbuka nini walisema jana
2. Hata sisi tunataka Watanzania waamini hivyo kutokana na shida na matatizo waliyonayo
3. Hata kama ukweli utakuwa huo, itadhihirisha kuwa uwezo wenu wa kulinda ni mdogo hivyo hamtakiwi kuaminiwa na Watanzania
4. Kauli hiyo kwa kweli inasaidiwa sana na maneno kama vile, LIWALO NA LIWE, Kama mnataka mshahara huo sisi hatuna uwezo wa kuwalipa tafuteni mwajiri mwingine, n.k
5. Hatutaingia madarakani kwa damu, tutaingia kwa nguvu ya umma a.k.a Peoplesss poweeerr

ulitegemea majibu kutoka kwa viongozi, lakini maswali yako ni rahisi sana hayahitaji kujibiwa na Viongozi. Tafuta maswali mengine kwa ajili ya viongozi.

Shabiki na wala si mwanachama.
 
Hoja yakoulioitoa haina hadhi wala staha ya kujibiwa na hao uliwataka wakujibu, kwasababu kimsingi si hoja ya mtu menye busara na hekima,ila ni hoja sawia kwa mtu asiye na kisoma na akakosa busara na hekima, cha msingi rejea madai ya madaktari,rejea kipgo cha wabunge wa CHADEMA kule Mwanza,mauaji kule Igunga NA ya Zombe palepale Pande, utapata jibu
 
Hapo ndio ukomo wa kufikiri kwa manaodhaniwa kwamba ni maintelligensia wa ccm
rubiiiiiiish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ungeongeza na hili,CHADEMA ndo wanaohimiza watu kuiba na kuhodhi mali za umma ili serikali ichukiwe.Hata mabilioni ya tsh,yaliyohifadhiwa nje na vigogo CHADEMA INA MKONO WAKE ILI watanzania waendelee kupigika na kuichukia serikali ha ha ha....Kuliko kukosa hekima bora ukose mali kwa sababu utakuwa unatumika kama tinga tinga...
 
Nchi kwanini haitawaliki? Umetumia vigezo gani kufikia hii conclusion?
Ingekuwa haitawaliki wale viogozi wa CDM na NCCR wangeenda kupiga magoti Ikulu?
Inchi inatawalika, na at last na CDM wamemtambua mtawala mkuu....baba wa wote(Including Slaa) - JK!!

kweli inatawalika.....hahaaaa JK ulidhani urais ni kama kuongoza kikao cha wanywa kahawa Saigoni!!! kazi unayo mwaka huu...
 
hivi hii nchi ina usalama wa taifa kweli?!!!
wizi mkubwa na wa kimafia umekithri wala hatuwaoni?
Nafikiri ungesema usalama wa ccm ndo wametoa hiyo tahadhari!!!

Hakuna usalama wa taifa bali kuna uhasama wa taifa. Watu wanaong'oa raia wasikuwa nahatia meno na kucha na kuwavunja mbavu hawa ni uhasama wa taifa.
 
Nchi kwanini haitawaliki? Umetumia vigezo gani kufikia hii conclusion?
Ingekuwa haitawaliki wale viogozi wa CDM na NCCR wangeenda kupiga magoti Ikulu?
Inchi inatawalika, na at last na CDM wamemtambua mtawala mkuu....baba wa wote(Including Slaa) - JK!!

Karibu sana Rejao umepotea sana!Mambo ndiyo hivo tena yanakwenda alijojo......gari limeshamsinda Dereva zimebaki lawama tu oooh!Lamii Big G, Mara OOH!Matairi ya China Kila kukicha afadhali ya Jana,
 
Back
Top Bottom