Hii ni kweli kabisaTanzania ni nyepesi sana na wananchi wake tupo tupo tu ndiyo mana ccm inafanya lolote wawezalo wakijua na kuamin kuwa hatuna lolote la kuwafanya.
Tanzania ni nyepesi sana na wananchi wake tupo tupo tu ndiyo mana ccm inafanya lolote wawezalo wakijua na kuamin kuwa hatuna lolote la kuwafanya.
dr sijui huwa anaandaliwa yakuongea kwa watu, da maana hakuna siku aliyoshindwa kunikosha nafsi kwa kukemea ujinga wa jk
Chadema siwapendi hata robo secnd.
Umenikumbusha mkuu. Nilifuafilia sana hayo matukio. Nakumbuka vyombo vya usalama viliwapiga waandamanaji ila baads ya muda wakageuka ghafla wakamkamata Cescescu na mkewe na kuwatupa korokoroni kabla ya kuwapeleka kuzimu.Hapana Mkuu, Soviet union ilianguka miaka miwili baada ya mapinduzi ya Romania. Somo nililotaka kulitoa ni kuwa ilifika wakati ambapo hata jeshi lake alilolitumia kukandamiza watu wake waliweka silaha chini na kusalimu amri kwa Umma. Huko ndiko tunakoelekea kwa hivi sasa - hata mbwa iko siku anaweza kumgeuka bwanake na kumng'ata!
Chanzo cha mapinduzi ya Libya had nothing to do na Uislam na 'kupinga katuni ya udhalilishaji wa mtume.'Mapinduzi ya Libya yalianzishwa na mpigania haki aliyekuwa akitetea haki za ndugu wa wale waliouwawa kwenye maandamano ya waislam, yale ya kupinga ile katuni ya udhalilishaji wa mtume wao.
Serikali ni kweli kuwa lazima iwe makini.
Gaddafi alidhani west wangemsapoti kwasababu wale walikuwa ni mujahedeen, na yeye alisema walikuwa alkaeda, hakusikilizwa licha ya kwamba kuna ukweli kwenye madai yake.
Cha msingi hapa ni haki ya raia, unauwa raia wenye kuandamana?
Alisema kitendo hicho ni uchokozi tosha kwa CHADEMA na kimelenga kuleta fujo nyingine zinazoweza kuleta uvunjifu wa amani.
Niliwasiliana na Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, pia mkuu wa mkoa, niliwaambia mimi sipendi kugombana nao kwa masuala ya hovyo kama hayo, tupo kwa mujibu wa sheria, bendera zetu zinatokana na kodi za Watanzania, wakasema eti zingine ziko sokoni, nikawauliza za CCM huwa zinawekwa wapi?
Watu hawana maji, hawana zahanati, elimu inashuka, mkuu wa wilaya hajawahi kuamuka usiku, lakini kwenye kushusha bendera za CHADEMA wanaamka usiku wa manane, alisema.
Well, simlaumu sana mama yetu lakini anawakilisha mawazo ya kizazi kilichopita chenye uvivu wa kujituma na kumtumikia kafiri bora mkono uende kinywani....
Ni kizazi ambacho hakina matumizi makubwa ya kichwa.... hakiwezi hata kuset priorities za taifa..... ni kizazi cha hunters and gatherers...... hakijafikia hata stage kuitwa horticultural societies.........
1. Kizazi hiki huona bora kiue kiwanda cha kiatu ili kinunue viatu vya ulaya.....
2. kizazi hiki huona bora kiue ginerry na vyama vya ushirika ili products zikawe processed ulaya.....
3. Kizazi hiki hudhani kuwa kutembelea 4 wd za gharama kutainua uchumi kuliko kujenga barabara bora....
4. Kizazi hiki hupenda kwenda kupumzika ulaya na si kuendeleza mambo mazuri ili kipimzikie nyumbani....
5. Kizazi hiki hupenda sana dili za muda mfupi mfupi hata kama zina gharama kwa taifa...
6. Kizazi hiki hakioni umuhimu wa huduma ya reli kuwa bora na umuhimu wa huduma hii kuwa chini ya state.....
7. Kizazi hiki ni hopeless.... ni hopeless kuliko kile cha chifu mwangunga kwani kimeenda shule lakini mambo yao kama kinavuta bangi mbichi......
NOTE: it is high time tulijipanga kwenye forum zetu kuwa tupigane mshahara wa mbunge uwe as high as the university professor....ili ONLY COMMITED PEOPLE TO GET IN PALE MJENGONI.........
Kwa heshima na taadhima NINAWAOMBA WABUNGE WOTE WAZEE WAFUNGASHE NA WAIGE MFANO WA MAMA MAKINDA (ambaye kwa kauli hii nimemuheshimu sana)....
Pia nawaomba wale wabunge vijana wanaofikiri kwa kutumia masaburi pia waunge bogi.....
lets leave the brilliant DOT COMs produce the new cadre to save our sunking Tanzania....
such that hakutakuwa na KULOGANA tena kwa ajili ya hii position......
kiasi kwamba B**** letu limekuwa kambi la wachawi.....
mAMA YETU KASOMA ALAMA ZA NYAKATI...she is brilliant!
Mungu mbariki Makinda...
Mungu ibariki Tanzania...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa makini na kuchukua hatua za haraka kurejesha amani kabla Watanzania hawajaishiwa uvumilivu na utawala wa serikali yake ...
Hivi unawaambiaje raia wenye uchungu na vifo vya wananchi wenzao, waliojikusanya na kuamua kuandamana kudai haki, eti wachague kiongozi wa kuonana na mkuu wa mkoa, alisema.
Wewe lazima utasifia kila jambo lakini ukweli ni kuwa Slaa ni mnafiki tu, hawezi uwaambia wananchi waingie mtaani kwasababu alishaonywa alipokwenda Ikulu.Kwa kauli hii ya dokta utagundua kuwa ni mtu makini na asiyependa ubabaishaji...alikuwa na uwezo wa kuwaambia wananchi,washabiki na wanachama wake kule Tunduma waingie mtaani au watumie nguvu...ila kwa kauli hii,sipendi ugomvi wa hovyo hovyo imenifurahisha sana...Na ndio maana anatofautiana na huyu Dr Dr Dr Dr Dr Dr.....
Wewe lazima utasifia kila jambo lakini ukweli ni kuwa Slaa ni mnafiki tu, hawezi uwaambia wananchi waingie mtaani kwasababu alishaonywa alipokwenda Ikulu.
Nchi itatawalika mpende msipende,si mliwatumia akina kijo kisimba kuanzisha maandamano ya kwenda ikulu?! Watu walojitokeza hawajai hata kwenye Hiace moja,watanzzania wengi hawana imani na jk but bado wana imani na chama chao cha Ccm so wanasubir 2015 kufanya kweli,wapinzani hawaaminiki hata kidogo ndo maana wapo walopitia misikitini na makanisani komba kura wakamwagwa na wananchi.