Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Sijui nchi utawalike mara ngapi kweli babu kapinda, jamaa anakaribia kwenda kula bata msoga yeye anaota nchi kutotawalika hahaaaaaa
 
Nimeanza kukubali kweli huyu mzee ni mshari sana, bila kukubali anachotaka anaweza hata kumwaga damu.
 
Siasa ni unafiki bila kuwa mnafiki hufiki popote.

Wakati huo Dr alikuwa adui mkubwa wa Lumumba baada ya kuhamia upande ule leo amekuwa lulu, lol.
 
Siasa ni unafiki bila kuwa mnafiki hufiki popote.

Wakati huo Dr alikuwa adui mkubwa wa Lumumba baada ya kuhamia upande ule leo amekuwa lulu, lol.
Hata hivyo walichosahau hao watu wa lumumba maneno yake bado yamesimama .
 
Siasa ni unafiki bila kuwa mnafiki hufiki popote.

Wakati huo Dr alikuwa adui mkubwa wa Lumumba baada ya kuhamia upande ule leo amekuwa lulu, lol.
Hata ufipa walikuwa maadui wakubwa wa Lowassa, baada ya kuhamia kwao sasa hivi amekuwa kipenzi chao.
 
Mnahaha na mtamkumbuka sana Kikwete.

Ingieni mitaani mkione cha moto.
Bibie pumzi bado zipo ila jamaa anawapukutisha siyo kidogo.

Kweli tutamkumbuka ndiyo maana tunamjengea lisanamu, ila wasiwasi wangu ni upande uleee kama utalikubali.
 
Dr. Slaa atastaafu akiwa amejiharibia kabisa historia yake.
Amekuwa mropokaji mno siku hizi.
Kila siku anaonga MIPASO tu!!!

Tabia yake ya uroho wa pesa na madaraka imewafanya watu wengi wapoteze imani naye!!!
Dr. Slaa HAAMINIKI...
Napita tu
 
Back
Top Bottom