Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Pls mtoa maada nenda ukapimwe akili zako pia uwe unakumbuka kujitawaza baada ya haja kubwa maana hayo maneno yako ni sawa na kinyesi kinachotoa harufu mbaya hatimaye kusababisha magonjwa ktk jamii.
 
hivi hii nchi ina usalama wa taifa kweli?!!!
wizi mkubwa na wa kimafia umekithri wala hatuwaoni?
Nafikiri ungesema usalama wa ccm ndo wametoa hiyo tahadhari!!!

Hapana, kwa mabo yalivyo kuna usalama wa taifa upo kwa ajili viongozi,wezi wakubwa wakubwa,wanaosafirisha madawa ya kulevya ya mabilioni. Upo kwa ajili hiyo, hauna integrity tena-it is comprized to its very core
 
Pale Arusha NMC Dr.Slaa alisema "Tutahakikisha Nchi Haitawaliki!".Hii ni kauli ya chama.
1.Ni mbinu gani mnatumia nchi isiawalike?
2.Kwanini watanzania tusimini kama CHADEMA iko nyuma ya migomo?
3.Kwanini watanzania wasiamini kuwa mmewatumia watendaji wa serikali wanaounga mkono chama ndio walio husika kumteka Dr.Ulimboka? Lengo afe ili kibano kwa serikali kiwe kikali?
4.Kauli ya Mwanza,"tutaing'oa serikali kabla ya 2015"kauli hii inaonesha mmejipanga! Sasa ni mbinu ipi kama sio kusababisha maafa ilimradi tu muingie ikulu?
5.Kama mtaingia madarakani kwa damu hamuoni nanyi mtatoka kwa damu,na kuifanya Tanzania ziwa la damu?

Nategemea majibu toka kwa viongozi kama Mbowe,Slaa,Zitto,Mnyika n.k na si matusi toka kwa washabiki wa CDM.

Haa! Sasa kwani issue hapa ni nini? Nenda kwenye swala la msingi,acha ngojera. Hivi baada ya kushika dola kwa miaka yote hiyo kwa nini mnawaogopa CHADEMA? CHEDEMA ndio walitengeneza sera ya/za afya? Je ndio walipanga mishahara ya madaktari kuwa chini huku tukijua kuwa wanashikilia roho za binadamu wakiwa namba 2 baada ya Mungu? Kama unaipenda CCM na serikali yake jiunge wewe na wenzio muandamane ili muishinikize serikali kuchukuwa hatua.Ndio jawabu pekee. Acheni kutapatapa na kulalamika, kazeni buti na muwajibike,chukuweni hatua sahihi kwa kila jambo la msingi katika nchi yetu halafu muone kama hao CHADEMA watakuwa na la kuongea. Tatizo la CCM na serikali yake ni kuwa mnawatengenezea CDM agenda nzuri za kuongelea kila uchao. Bahati mbaya sana agenda zenyewe ni zile zinazowagusa wananchi wa kawaida. Baati mbaya ya pili ni kuwa wananchi wameamka sana na wanelewa mambo yanavyokwenda. Bahati mbaya ya tatu ni kuwa viongozi wa CHADEMA sio mbumbumbu, wanaelewa namna ya kutumia agenda mnazowapa.Sasa nani alaumiwe hapo? CHADEMA wanaotumia vizuri fursa ya agenda wanazotengeneza na CCM na serikali yake au CCM na serikali ya ambao ndio watengeneza agenda hizo? Dawa ya jino si panado maana inatuliza maumivu tu. Dawa ni kulig'oa jino!

Cha ajabu ni kuwa ninyi CCM/Serikali(kama wewe ni mmoja wao) mnatumia muda mwingi na rasilimali nyingi kushughulikia mambo ya kipuuzi! Mkijitahidi sana mnatibu dalili mdala ya ugonjwa. Mfano, kuwapeleka akina Maranda na mwenzake makamani aliyeiba billioni mbili(2) kupitia EPA halafu mkamuacha na kumsamehe Kagoda aliyeiba billioni arobaini(40) hapo mmetatua tatizo? Halafu CHADEMA wakiliongelea hili mnaanza kusema ooh,wanata nchi isitawalike, upuuzi tu. Ni mambo ya Kalume kenge kukata tawi la mti alilokalia.

Acheni kutudhihaki sisi wananchi wa kawaida, fanyeni kazi,acheni ulegevu,maneno na maono yaliyopinda. Mkumbuke kuwa hapana serikali yoyote dhalimu duniani,ambayo iliawafanyia wananchi wake dhuluma za waziwazi na ikapata kuendelea kuwapo madarakani. Haya sio manono yangu ila ni kanuni ya historia ya ulimwengu!
 
Inamaana speech ya jakaya nayo imebackfire, moja haishiki mbili haishiki, mgonjwa kakataa uji nini?
 
Sifa kuu ya mtu asie jiamini ni uoga. Yaani hata akiguswa na mende tu atattaka kumuua na nyundo. Hivyo ndio alivyo JK.
 
ADVANCED ISSUE...?!!aaaaaaare you kidding sangarara?
WHAT ADVANCED ISSUE HEH?..

Slaa hajachakachuliwa kama unavyodai alishindwa kwenye uchaguzi,ukiangalia tu idadi ya wabunge wa ccm ni nwengi sana kuliko wa upinzani sasa iweje wachague wabunge wa ccm rais wa chadema? think forward!!! mimi napenda upinzani lakini kwa mtizamo wangu wapinzani wa kweli hakuna,kuna siasa za maji taka tu
 
Hoja yakoulioitoa haina hadhi wala staha ya kujibiwa na hao uliwataka wakujibu, kwasababu kimsingi si hoja ya mtu menye busara na hekima,ila ni hoja sawia kwa mtu asiye na kisoma na akakosa busara na hekima, cha msingi rejea madai ya madaktari,rejea kipgo cha wabunge wa CHADEMA kule Mwanza,mauaji kule Igunga NA ya Zombe palepale Pande, utapata jibu

Nimependa hiyo.....
 
Ninyi wanaJF...mnashabikia CDM na huyo Slaa? Alisema punde tu baada ya uchakuzi 2010 kuwa nchi hii haitatawalika na hayo yalikuwa maazimio ya kanisa na Dr Slaa. hivyo wanajitahidi kila kukicha kuwahadaa wanchi kuleta vurugu ili kuthibitisha na kufikia malengo yao ya kuichafua nchi. Hawa wote wanaoleta vurugu wako backed na CDM na Kanisa...including migomo hii ya madaktari. wako pia wanaharakati na wa haki za binadamu ambao wamesema sana katika migomo mingi ukiangalia ile ya Mbeya, Ruvuma na mingine mingi. Ila ukitafakari sana na ukiangalia sana mafisadi wengi hutokea huko makanisani. nasema kanisani kwa kuwa sasa hivi hao waliotajwa mafisadi (Lowasa and the likes) wanapita makanisani mwetu kuomba support zetu ili tuwape ridhaa ya kuongoza nchi katika chaguzi zijazo... mimi sijui tunakwenda wapi
 
Nimegundua kuwa wewe ni kipofu kiakili ndio maana hujui tunakokwenda, kwa upofu huo huo serikali ya kikwete iibe TWIGA wetu iwapakie kwenye ndege za kijeshi watimkie kwa wa sunni/shia halafu utegemee tunyamaze, hao mafisadi unaowatolea mfano dini yao ni ccm, si waumini wa kanisa hao, labda wangeulizwa waliotoa idhini na kuipigia chapuo bendera ya tanzania kutumiwa na wavaa vipedo kutoka ghuba ya uajemi kana kwamba wao hawana flag. Lazima una character za nyumbu (mnyama) wewe.
 
Viva Dr. Slaa, wapashe hao vilaza wasiojua nini kiko mbele yao. hata nchi inazama wanang`ang`ania utawala bora wa yule dhaifu na sera zake za nguvu na kasi ya wizi akiwa Ikulu. Shame on him!!!!!!!!!!!!!!
 
nchi ilikoma kutawalika siku mingi sana, siku ambayo dr. aliomba tume ya uchaguzi kusitisha hesabu za kura ili kupata ufumbuzi wa maswala alioita nyeti; tume ikabisha na kuendelea kutangaza kama kwamba hana haki kama mgombea; kuhoji namna ya uhesabuji wa kura na utoaji wa matokeo; Unakumbuka kule geita kura zilivyokosewa katika moja ya majimbo? Zinakosewa kwa kupunguzwa zile za CDM, na zinakosewa kwa kuongezwa zile za nani??
 
Pale Arusha NMC Dr.Slaa alisema "Tutahakikisha Nchi Haitawaliki!".Hii ni kauli ya chama.
1.Ni mbinu gani mnatumia nchi isiawalike?
2.Kwanini watanzania tusimini kama CHADEMA iko nyuma ya migomo?
3.Kwanini watanzania wasiamini kuwa mmewatumia watendaji wa serikali wanaounga mkono chama ndio walio husika kumteka Dr.Ulimboka? Lengo afe ili kibano kwa serikali kiwe kikali?
4.Kauli ya Mwanza,"tutaing'oa serikali kabla ya 2015"kauli hii inaonesha mmejipanga! Sasa ni mbinu ipi kama sio kusababisha maafa ilimradi tu muingie ikulu?
5.Kama mtaingia madarakani kwa damu hamuoni nanyi mtatoka kwa damu,na kuifanya Tanzania ziwa la damu?

Nategemea majibu toka kwa viongozi kama Mbowe,Slaa,Zitto,Mnyika n.k na si matusi toka kwa washabiki wa CDM.
katika red:Kama watendaji wa serikali wanaiitii CDM zaidi ya serikali then ni wazi kuwa ndio wanastahili ongoza.
-Labda walimaanisha kama Lissu alivyomwambia waziri Mkuu ajiuzulu kama kajaribu hadi mwisho bado kashindwa.

-Damu kumwagika si kigezo,kigezo ni nani kamwaga.CCM so far wanashikilia jackpot kwa umwagaji damu .Magamba aka VAMPIRES.
 
Ninyi wanaJF...mnashabikia CDM na huyo Slaa? Alisema punde tu baada ya uchakuzi 2010 kuwa nchi hii haitatawalika na hayo yalikuwa maazimio ya kanisa na Dr Slaa. hivyo wanajitahidi kila kukicha kuwahadaa wanchi kuleta vurugu ili kuthibitisha na kufikia malengo yao ya kuichafua nchi. Hawa wote wanaoleta vurugu wako backed na CDM na Kanisa...including migomo hii ya madaktari. wako pia wanaharakati na wa haki za binadamu ambao wamesema sana katika migomo mingi ukiangalia ile ya Mbeya, Ruvuma na mingine mingi. Ila ukitafakari sana na ukiangalia sana mafisadi wengi hutokea huko makanisani. nasema kanisani kwa kuwa sasa hivi hao waliotajwa mafisadi (Lowasa and the likes) wanapita makanisani mwetu kuomba support zetu ili tuwape ridhaa ya kuongoza nchi katika chaguzi zijazo... mimi sijui tunakwenda wapi

Mishalejuu mbona mishale yako unalenga siko?Hebu jiulize kanisa hapo mbona ni general sana hebu litaje na uhusika wake!Nimeamini mbaazi kukosa maua husingizia jua.Hivi JK kushindwa kuwawajibisha mafisadi DR.Wetu Slaa anahusika?Na vipi mabilioni yaliyokwapuliwa na viondozi wa CCMajambazi nayo Our beloved Dr.Slaa anahusika.Vipi JK kucheka ovyo anapoona foleni za magar barabarani nakudhani hayo ndo maisha bora alohubiri kwenye campain Our Hardworker Dr.Slaa anahusika?Nahisi una ugonjwa wa msongo baada ya kuona kuna uwezekano wa kitumbua chako kuingia mchanga kwa hiyo unaattack ovyo bila kujua adui yako.Kwa ushauri its not too late ongea na Mh.Mkuu wa kaya mwambie uongozi ni dhamana arekebishe ili wkt Dr.wa ukweli atakapoingia asifanane na Mubarak.
 
Washwa washwa type of people, kila kitu kinawashwa sasa tukufanyeje ?

Udhaifu wa brain huwa unamfanya mlevi kuona anajua kila kitu wakati kajikojolea!"Lol.Hivi kuwashwa ukiwa strong na kutokuwashwa ukiwa dhaifu kupi kuna nafuu?Unajua mtu akiwa Dhaifu hata upepo unamwangusha ila mtu akiwa strong hata akiwashwa anajikuna.Jibu hoja acha udhaifu kwenye kila kitu.
 
After attempt to kill dr Ulimboka and one sided naration made by JK in his monthly speach am sure the prediction made by Dr Slaa will happen...kwa hasira iliyopo mioyoni maw wananchi kwasababu ya ubabe wa serikali nchi inaelekea kwenye kutotawalika.
 
Back
Top Bottom