Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Toka Jakaya Kikwete atangazwe kibabe kuwa ndio mshindi wa ngazi ya Uraisi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Juzi na kisha kuapishwa haraka haraka katika Sherehe ambazo DR na CHADEMA kwa ujumla walizisusia kwa sababu mchakato wa uhesabuji wa Kura za Uraisi uligubikwa na mchakato wa usiri uliokuwa umejaa kila aina ya mashaka ya nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya Pazia,
Serikali yake ni kama imepigwa laana sababu hakuna Jambo ambalo serikali hiyo inalifanya na likakamilika kwa manufaa ya UMA na wakati mwingine hata yale yanayofanyika kwa manufaa ya wachache yanaiweka serikali hiyo matatani katika namna inayotia aibu.

Serikali ya Jakaya imejaa mikosi kitu kinachopelekea ugumu wa maisha wa hali ya kutisha kutapakaa nchi nzima, vilio katika kila kona ya nchi, na yeye binafsi sasa ni kama vile anaona aibu au amekwisha ng'amua na madhira gani yameufika utawala wale, sababu kapoteza kabisa ujasiri wa kuthubutu kutoa maamuzi katika Jambo lolote lile, bila shaka akihofia mambo kuharibika dhaidi.

Nimeifikiria hali hii na nimeona ni vyema kutoa mchango wangu ili kulinuthuru Taifa na Matatizo, Namuomba DR SLAA aondoe kinyo'ngo alichonacho cha kupokwa Urais, Asamehe yote yaliyotokea, ajitie nguvu na kushusha Pumzi, atoe tamko, na Watanzania
wote wasikie kwamba Anamtambua Jakaya Mrisho Kikwete kuwa ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana harari ya kuliongoza Taifa hili.

Ninaamini kwamba hatua hii itampa Mwenzake wepesi wa kutuongoza kitu ambacho kitakuwa na manufaa kwa Watanzania wote.
 
Mimi nafikiri ni kipindi cha Dr Slaa kujipanga tena kwa ajili ya 2015. Na kuacha kabisa kuchochea wanachama na wapenzi wa chama chake kufanya hujma kwa serikali iliyopo madarakani kwa ajili ya manufaa ya nchi yenu na wananchi wake.

Hakika uchochezi sio mzuri kwa mustakabali wa nchi yenu. Hakika amani ya nchi enu inategemea busara zenu viongozi kwa wanachama wenu.

Fuata za maalim Seif kwa Znz na waZnz.
 
Hivi Dr Slaa kafanya uchochezi gani?
Mbona maandamano yalishaisha?
Wananchi kujua haki zao ni kosa la cdm?
Au hata mgomo wa MaDr ni ishu ya cdm na Dr sLAA?..Nimeshindwa kukuelewa Dr Barubaru!
 
Toka Jakaya Kikwete atangazwe kibabe kuwa ndio mshindi wa ngazi ya Uraisi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Juzi na kisha kuapishwa haraka haraka katika Sherehe ambazo DR na CHADEMA kwa ujumla walizisusia kwa sababu mchakato wa uhesabuji wa Kura za Uraisi uligubikwa na mchakato wa usiri uliokuwa umejaa kila aina ya mashaka ya nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya Pazia,
Serikali yake ni kama imepigwa laana sababu hakuna Jambo ambalo serikali hiyo inalifanya na likakamilika kwa manufaa ya UMA na wakati mwingine hata yale yanayofanyika kwa manufaa ya wachache yanaiweka serikali hiyo matatani katika namna inayotia aibu.

Serikali ya Jakaya imejaa mikosi kitu kinachopelekea ugumu wa maisha wa hali ya kutisha kutapakaa nchi nzima, vilio katika kila kona ya nchi, na yeye binafsi sasa ni kama vile anaona aibu au amekwisha ng'amua na madhira gani yameufika utawala wale, sababu kapoteza kabisa ujasiri wa kuthubutu kutoa maamuzi katika Jambo lolote lile, bila shaka akihofia mambo kuharibika dhaidi.

Nimeifikiria hali hii na nimeona ni vyema kutoa mchango wangu ili kulinuthuru Taifa na Matatizo, Namuomba DR SLAA aondoe kinyo'ngo alichonacho cha kupokwa Urais, Asamehe yote yaliyotokea, ajitie nguvu na kushusha Pumzi, atoe tamko, na Watanzania
wote wasikie kwamba Anamtambua Jakaya Mrisho Kikwete kuwa ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana harari ya kuliongoza Taifa hili.

Ninaamini kwamba hatua hii itampa Mwenzake wepesi wa kutuongoza kitu ambacho kitakuwa na manufaa kwa Watanzania wote.

Kumbe Slaa ana sifa ya Umungu mie nilidhani Padre tu.
 
Laana ya kuchakachua kura za wanyonge itamtafuna JK milele.Atubu
 
Si kweli kudai kuwa mambo yamekuwa hivi au nchi iko katika hali hii kwa sababu eti ya kinyongo cha Doctor. Upuuzi wa Kikwete ulianza kuonekana hata kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010. Huyu mtu hana sifa wala uwezo wa kuwa hata monitor wa darasa achilia mbali kuwa rais wa nchi.
Je, ina maana Doctor akifungua moyo wake ghafla wabunge wa CCM nao watapata akili na busara ya kutetea maslahi ya nchi?
Hii assumption kuhusu Doctor ni dhaifu mno, huwezi kumbebesha mtu mzigo wa uzembe wa mtu mwingine hata kidogo.
 
Mimi nafikiri ni kipindi cha Dr Slaa kujipanga tena kwa ajili ya 2015. Na kuacha kabisa kuchochea wanachama na wapenzi wa chama chake kufanya hujma kwa serikali iliyopo madarakani kwa ajili ya manufaa ya nchi yenu na wananchi wake.

Hakika uchochezi sio mzuri kwa mustakabali wa nchi yenu. Hakika amani ya nchi enu inategemea busara zenu viongozi kwa wanachama wenu.

Fuata za maalim Seif kwa Znz na waZnz.

Hivi in absence of wizi na hujuma toka CCM Dr.Slaa ana haja ya kujipanga?

Anayetakiwa ajipange siyo Kikwete kwa kushindwa kazi?

Kwa hiyo unadhani Dr.Slaa naye ni maalim kiasi akikaribishwa ubwabwa ikulu asahau maadhimio yote ya CDM na kukaa ikulu tuli?!
 
Mwambieni na huyo rafiki yake edo anayeng'ang'ana kuingia ikulu
 
Si kweli kudai kuwa mambo yamekuwa hivi au nchi iko katika hali hii kwa sababu eti ya kinyongo cha Doctor. Upuuzi wa Kikwete ulianza kuonekana hata kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010. Huyu mtu hana sifa wala uwezo wa kuwa hata monitor wa darasa achilia mbali kuwa rais wa nchi.
Je, ina maana Doctor akifungua moyo wake ghafla wabunge wa CCM nao watapata akili na busara ya kutetea maslahi ya nchi?
Hii assumption kuhusu Doctor ni dhaifu mno, huwezi kumbebesha mtu mzigo wa uzembe wa mtu mwingine hata kidogo.
Mkuu, yawezekana kushindwa kwake (kikwete) katika uchaguzi mkuu kulimwondolea confiedence kabisa. Kwa hiyo huyo mshindani wake ambaye ndiye aliyechaguliwa kihalali anaonekana kuwa anakubalika na ana uwezo. Hivo JK pengine anahitaji kutiwa nguvu, kuaminishwa kwamba he is capable of leading the tanzanians. Na confidence pengine yaweza kwa namna moja au nyingine kurudishwa na huyohuyo "aliyemunyang'anya", yaani mshindani wake wa urais. JK ana huzuni deep down moyoni mwake, hajiamini tena.
 
Mimi nafikiri ni kipindi cha Dr Slaa kujipanga tena kwa ajili ya 2015. Na kuacha kabisa kuchochea wanachama na wapenzi wa chama chake kufanya hujma kwa serikali iliyopo madarakani kwa ajili ya manufaa ya nchi yenu na wananchi wake.

Hakika uchochezi sio mzuri kwa mustakabali wa nchi yenu. Hakika amani ya nchi enu inategemea busara zenu viongozi kwa wanachama wenu.

Fuata za maalim Seif kwa Znz na waZnz.

Hapa hakuna uchochezi wowote unaofanyika. Serikali imeshindwa kuendesha uchumi, imeshindwa kukusanya kodi, wananchi wanalia, sasa Dr Slaa afanye nini? Kama JK na CCM yake wameshindwa kuongoza wapishe, wajiuzulu, uchaguzi ufanyike upya na wenye uwezo waingie watukwamue.
 
well, nilitaka kupita tu lakini nadhani ni busara nikasema machache tu....

kimsingi, ni laana inawasumbua wanakimbia vivuli vyao vyenyewe....

tangu utawala huu uingie madarakani, nchi inaongozwa na SYNDICATE!!

ni syndicate yenye CONSPIRANCY.....NA imeenea katika taasisi mbalimbali na idara za serekali....KWAMBA,.....

1. hakuna mema kwa mzalendo mwenye mapenzi mema kwa tanzania......

2.hakuna climbing up the coorporate ladder kwa alie realistic na mchukia ufisadi....

3. ni jehaman la kutupa kwa aliye tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya tanzania mpya...anti wizi etc...

4. hakuna mema kwa anayeonekana kutokumbatia uccm na ufisadi....

WHAT HAS Happened so far.....

Wenye mampenzi mema na nchi hawashirikishwi katika maamuzi

na wala hawawezi kuonja tunu ya jasho lao...HIVYO...

WAMEWAACHA mapanya waendelee kutoboa mhogo wanaosafiria...

wanyewe wanebakia kusemayetu macho.......HIVYO...

KUNA WIZI NA UFISADI ULIOPINDUKIA UNAENDELEA....

KUNA MAAMUZI YA AJABU YANAYOFANYIKA........NA hivyo kupelekea....

tukio kama linalofuata hivi punde la kuvunja serekali........LAKINI...

ZITAENDELEA KUVUNJWA SEREKALI ZAIDI YA TANO KWANI KILA KITU KINAFANYWA KWA MAKUSUDI........

napita tu lakini, nitarudi
 
"Tanzania haita tawalika."

Hii kauli waliichukulia kimabavu mabavu na hata wakuu wa jeshi
kujitokeza na kusema "ITATAWALIKA TU".

Sijui saivi wakiulizwa nchi ina tawalika kweli watasemaje.
Walidhani kuna mtu ataingia msituni
 
Hapa hakuna uchochezi wowote unaofanyika. Serikali imeshindwa kuendesha uchumi, imeshindwa kukusanya kodi, wananchi wanalia, sasa Dr Slaa afanye nini? Kama JK na CCM yake wameshindwa kuongoza wapishe, wajiuzulu, uchaguzi ufanyike upya na wenye uwezo waingie watukwamue.

Hiyo, kweli ndiyo suluhu ya Tanzania iliyotambarajika. Vinginevyo, mambo yatakuwa mabaya zaidi.
 
Serikali ya Jakaya imejaa mikosi kitu kinachopelekea ugumu wa maisha wa hali ya kutisha kutapakaa nchi nzima, vilio katika kila kona ya nchi, na yeye binafsi sasa ni kama vile anaona aibu au amekwisha ng'amua na madhira gani yameufika utawala wale, sababu kapoteza kabisa ujasiri wa kuthubutu kutoa maamuzi katika Jambo lolote lile, bila shaka akihofia mambo kuharibika dhaidi.

Nimeifikiria hali hii na nimeona ni vyema kutoa mchango wangu ili kulinuthuru Taifa na Matatizo, .
Thatha, thi umwambie huyo raithi athiende ulaya kila thiku, akae athovu matatidho yetu.
 
Laana ya wizi na ujanja ujanja wa ccm na kale kamsemo tutatawala daima na milele lazima iwale na iwatafune bila kubakiza. Na ile laana ya kuwa ni chaguo la Mungu nayo lazima itutafune tushike adabu kisawasawa!!
 
Back
Top Bottom