Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,422
- 2,271
Hiyo zzzz ina maana akinamama wa chadema wamelala?Angalia vizuri hiyo picha : chini upande wa kulia : zzz
Ukiangalia picha hiyo vizuri unaweza kuona sura mbili tatu tu za kinamama. Hii inamaanisha kuwa akinamama wengi hawana haja na Chadema....We huwaoni hao wanawake?? Ila hawana khanga, T-shirt na kofia za kuhongwa!!