Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by n00b, Sep 12, 2010.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]

  [​IMG]

  Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelefu ya wananchi wa mji wa Bunda, katika mfululizo wa kampeni zake jana (Picha na Joseph Senga)
   
 2. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,885
  Trophy Points: 280
  Nadhani hawa nao watatamka kama wa Mwanza kuwa "Hatukubebwa na malori tumekuja wenyewe"
   
 3. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  My God! Mungu wangu! Mawee! Wassira atapata shinikizo la maji (soma damu).
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Interesting, wish you luck comrade!
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,057
  Trophy Points: 280
  Kuna watu watakuja kusema kajaza watoto utadhani kila anakopita watu wazima wote walishakufa, mambo bado hajafika Musoma na Tarime, hivi Kikwete leo yuko wapi mbona amenywea sana au bado anakula idd tatu.
   
 6. h

  hagonga Senior Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lol! Hii inapendeza sana, Thank you Mugumu for this update.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,057
  Trophy Points: 280
  Nasikia Mkuu wa wilaya ya Bunda Francis Isack alihudhuria mkutano wa Slaa, naona sasa wameanza kuona upepo unakoelea.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HAhahahahah imebidi nichangie tu! Kwa kweli nadhani watanzania hawatafanya kosa la miaka yote. CCM anguko lipo njiani
   
 9. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kudadadeeeeeeki
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aiseeeeeeeeeeee
   
 11. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good luck Dr. Slaa and God bless u.
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mugumu,
  Shukran sana.. Duh hiyo avatar yako mkuu wangu kali kiajabu, yaani inabidi sarakasi ikiwa mtu anataka kuchusha kipudu..damn....
   
 13. S

  Sylver Senior Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mahudhurio mazuri ,nice
   
 14. D

  Dopas JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante Mugumu, Ujitahidi kutuhabarisha mara kwa mara kama hii. Mwaka huu hatudanganyikiiiiii..... Ujumbe huu umfikie Tandaleone. Yupo lakini au amekimbia baada ya kuona huo umati wa watu? Bila shaka huo umati ungekuwa wa kijani angejitokeza hadharani. Jitokeze basi na useme neno Tandaleone.....
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Wuaza pipi na barafu wamejaa.. je wamejiandikisha wote hawa?
   
 16. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Nadhani Mungu kaionea Tanzania huruma. Tumedanganywa vya kutosha. Tumeibiwa vya kutosha. Miaka 50 ya UHURU bila maendeleo si sawa. Sasa tunataka mabadiliko. Slaa ni shujaa wetu, ndiye chaguo letu.

  Naomba CCM waondoke kwa amani. Kama uchaguzi ukifanyika bila vurugu (na CCM wamezoea sana vurugu), sina shaka Slaa atashinda Urais. Kama Rais Kikwete atakubali kushindwa bila kuanza machafuko, basi tutamshukuru na kumpa heshima zote za Rais Mstaafu. Tuombe Mungu ampe mwanga na upenzi wa amani ili asiamue kuleta vurugu.
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kawaida tu, Sioni akinamama hapo.
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ulitaka Waletwe na Malori kama CCM? hakuna Kanga hapo Sera wataambiwa na Waume zao
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Chama wanawake Mkuu!, Sera zipi hizo? Au zile za kutongoza wake za watu?
   
 20. m

  mozze Senior Member

  #20
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinachovutia kwenye mikutano ya Dr. Slaa ni kuona WATANZANIA wanakuja kusikiliza. Mikutano ya CCM ni ya wana CCM tu ndio mana unaona ni sare tu, kijani na njano! inadhihirisha kabisa wanaokwenda pale either wameshurutishwa au kulaghaiwa, mana bila ubishi kuna wana CCM wengi tu wanahudhuria Mikutano ya Dr. Slaa, kama Bunda hadi Mkuu wa Wilaya.

  Kuna data zinaonyesha kuwa katika wapigakura waliongezeka mwaka huu, inafanya zaidi ya 50% kuwa ni vijana wenye umri chini ya miaka 35. Hiki ni Kizazi kipya ambacho kinataka Mabadiliko! ndio mana mikutano ya Chadema utaona ni sura mpya za watu walio tayari kupigania haki zao na sio kurubuniwa na kanga au T-shirts.
   
Loading...