Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

Mwaka wa mapinduzi, tuendeleze mapambano ya chini kkwa chini, kushawishi ndugu zetu, huu ni mwaka wa mabadiliko..
Eeeee Mola wetu tuwezeshe mwaka huu tuiangushe ccm kwa kishindo....
 
MI simo, hiyo oct 31, jk atapolia na kusaga meno

PayGod;,
uNAJUA BADO ccm wanadhani watanzania hawa ni wale wa 2005, hapo Muungwana alipotuambia maisha bora kwa kila Mtanzania, kisha maisha hayo yakawa ya akina ........, Sisi tunasema hatudanganyiki.
 
Mnaoota ndoto za matimaini na mabadiliko mpo tu!

Jingalao. Lete na za slaa akiwa rorya butiama na musoma mjini kama tulivyoona za lowassa leo ndio tulinganishe nyongeza na pungufu. Pia ukijua upinzani wote ulipata asilimia 37 wakati huo
 
Maisha bora kwao watanzania maisha in mlo mmoja kwa siku watoto Wa wakulima baba zao kuuza mashamba kusomesha watoto wao mikopo kwa watoto Wa vigogo watoto Wa maskini hakuna ajira watoto Wa vigogo ajira zao in Benki Kuu ,TRA,Bandari n.k CCM oyeeee
 
Back
Top Bottom