Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

Kinachovutia kwenye mikutano ya Dr. Slaa ni kuona WATANZANIA wanakuja kusikiliza. Mikutano ya CCM ni ya wana CCM tu ndio mana unaona ni sare tu, kijani na njano! inadhihirisha kabisa wanaokwenda pale either wameshurutishwa au kulaghaiwa, mana bila ubishi kuna wana CCM wengi tu wanahudhuria Mikutano ya Dr. Slaa, kama Bunda hadi Mkuu wa Wilaya.

Kuna data zinaonyesha kuwa katika wapigakura waliongezeka mwaka huu, inafanya zaidi ya 50% kuwa ni vijana wenye umri chini ya miaka 35. Hiki ni Kizazi kipya ambacho kinataka Mabadiliko! ndio mana mikutano ya Chadema utaona ni sura mpya za watu walio tayari kupigania haki zao na sio kurubuniwa na kanga au T-shirts.

This is Fatastic.
 
Rev, ogopa sana huo msemo maana kuna bwana mmoja aliutamka hivyo hivyo, AISEEE! baada ya sekunde tano akalamba mchanga. Au wewe REV una kinga isiyoonekana nini?

Unakumbukumbu nzuri sana wewe ? Bila shaka ulikuwa unafanya vyema darasani.
 
CCM ina heshima na adabu, ndio maana katika mikutano yake wakinamama uwekwa katika nafasi za mbele. Zaidi wakinamama ndio wapiga kura hapo Tz kama hujui.
nakubaliana na wewe CCM ina adabu kwa kugawa utu wetu kwa waarabu kina Rostam.
 
Halafu wewe si ni msemaji wa JK hapa Jamii Forums?
Acha usaliti wa Yuda Eskarioti
Kuna watu watakuja kusema kajaza watoto utadhani kila anakopita watu wazima wote walishakufa, mambo bado hajafika Musoma na Tarime, hivi Kikwete leo yuko wapi mbona amenywea sana au bado anakula idd tatu.
 
Halafu wewe si ni msemaji wa JK hapa Jamii Forums?
Acha usaliti wa Yuda Eskarioti
Umesema vuzuri sana chukua zawadi Aiseeeeee.............................

Ed+JK+Ambulance.jpg
 
Asante Mugumu, Ujitahidi kutuhabarisha mara kwa mara kama hii. Mwaka huu hatudanganyikiiiiii..... Ujumbe huu umfikie Tandaleone. Yupo lakini au amekimbia baada ya kuona huo umati wa watu? Bila shaka huo umati ungekuwa wa kijani angejitokeza hadharani. Jitokeze basi na useme neno Tandaleone.....

kweli hii inaonyesha ni jinsi gani watanzania walivyokomaa kiwsiasa.
 
Kinachovutia kwenye mikutano ya Dr. Slaa ni kuona WATANZANIA wanakuja kusikiliza. Mikutano ya CCM ni ya wana CCM tu ndio mana unaona ni sare tu, kijani na njano! inadhihirisha kabisa wanaokwenda pale either wameshurutishwa au kulaghaiwa, mana bila ubishi kuna wana CCM wengi tu wanahudhuria Mikutano ya Dr. Slaa, kama Bunda hadi Mkuu wa Wilaya.

Kuna data zinaonyesha kuwa katika wapigakura waliongezeka mwaka huu, inafanya zaidi ya 50% kuwa ni vijana wenye umri chini ya miaka 35. Hiki ni Kizazi kipya ambacho kinataka Mabadiliko! ndio mana mikutano ya Chadema utaona ni sura mpya za watu walio tayari kupigania haki zao na sio kurubuniwa na kanga au T-shirts.

Hii ni kweli kabisa. Hata mimi nimeongezeka kipindi hiki na wote ninaowafahamu walioongezeka wana dhamira ya kweli ya mabadiliko. Unajua previously tulikuwa tunapiga kura kutimiza wajibu tu lakini sasa hivi tunaelewa umuhimu wa kura
 
Kinachovutia kwenye mikutano ya Dr. Slaa ni kuona WATANZANIA wanakuja kusikiliza. Mikutano ya CCM ni ya wana CCM tu ndio mana unaona ni sare tu, kijani na njano! inadhihirisha kabisa wanaokwenda pale either wameshurutishwa au kulaghaiwa, mana bila ubishi kuna wana CCM wengi tu wanahudhuria Mikutano ya Dr. Slaa, kama Bunda hadi Mkuu wa Wilaya.

Kuna data zinaonyesha kuwa katika wapigakura waliongezeka mwaka huu, inafanya zaidi ya 50% kuwa ni vijana wenye umri chini ya miaka 35. Hiki ni Kizazi kipya ambacho kinataka Mabadiliko! ndio mana mikutano ya Chadema utaona ni sura mpya za watu walio tayari kupigania haki zao na sio kurubuniwa na kanga au T-shirts.

Hii ni kweli kabisa. Hata mimi nimeongezeka kipindi hiki na wote ninaowafahamu walioongezeka wana dhamira ya kweli ya mabadiliko. Unajua previously tulikuwa tunapiga kura kutimiza wajibu tu lakini sasa hivi tunaelewa umuhimu wa kura na tuna watu wa kuwachagua. RAIS DR. SLAA
 
Kawaida tu, Sioni akinamama hapo.

Kwa vile kinamama mnawarubuni na kanga na vitenge na kauli za vitisho ndio maana mnawaona wengi hapo jukwaani. Wengi wao njaa ndio zinawasumbua na tamaa ya kupata chochote hamna zaidi.
 
2ughzj9.jpg

2e4gqhs.jpg

Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelefu ya wananchi wa mji wa Bunda, katika mfululizo wa kampeni zake jana (Picha na Joseph Senga)

Kwa wingi huu wa watu nachelea kusema kwamba JK na wapambe wake MAPIGO YA MOYO YANAPANDA NA KUSHUKA KWA KASI YA AJABU
 
Go Dr Slaa, Tuko pamoja.

Kwa ufupi ni kwamba Iringa Mjini tayari ni Jimbo la Chadema 80%, Fisadi yeyote abishe hilo.

Kule Mbeya Sugu anatisha. Jamaa wa ccm alikua anahutubia mkutano wa Kampeni akawa anasema mtamchaguaje mvuta bangi, Karibu wananchi wamshushe kwenye Jukwaa.

Kwahiyo baba Mbeya mjini ni Jimbo la CHADEMA Above 70%.

Napata faraja kubwa coz naona sasa tutakula sahani moja na hawa mafisadi kule mjengoni.

Samahani wana CCM, Yeyote anaye support CCM namuona kama fisadi.
Sioni sababu ya Binadamu aliyesawa upstairs anaweza kuisuport CCM after all what Happened!!!!

I better die than support CCM. Jk ulijitahidi sana, ila wakina Rostam, Karamagi, Mramba, Chenge...... wamekuangusha baba.

Nina uhakika 100% yeyote anayesuport ccm kwa sasa. ni kwa maslahi yeke binafsi na si kwa maslahi ya Taifa. na ndio maana kuna jamaa humu ndani wanaona Anguko la CCM wanajisikia Kufa.

Ninasema na nina rudia tena. Dr. Slaa ndiye rais ajaye. Nina uhakika na ninachokisema. Situmii data za wana JF I have just travelled an Extra Mile.

Poleni sana Mafisadi. By November 1 you will all be gone. na hatutaishia hapo. Pesa zetu lazima mrudishe.
 
My God! Mungu wangu! Mawee! Wassira atapata shinikizo la maji (soma damu).

Msikilize hapa....:lol::lol::lol:

MGOMBEA ubunge Jimbo la Bunda kupitia CCM, Stephen Wasira amesema uamuzi wa yeye kugombea ubunge katika uchaguzi wa 2015 anawaachia wananchi.

Wasira, ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika alisema hayo wakati alipokuwa akitoa kauli kuhusu uvumi uliosambaa jimboni hapa kuwa hatagombea nafasi hiyo mwaka 2015.

Akijibu swali lililoulizwa na Deonatus Mtakama katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Tingirima, Wasira alisema kwa sasa ni vigumu kwake kuzungumzia uchaguzi ujao kwani kufika huko kunategemea majaliwa ya Mungu.

Hata hivyo, aliongeza kuwa muda ukifika, atakuja kwa wapigakura wake kukaa nao ili watoe hukumu kama anafaa kugombea tena nafasi hiyo au la.

“Muda ukifika wenyewe utaamua kama nigombee au niache, kwa sasa tuangalie uchaguzi wa mwaka huu tukifanya kila jitihada ili tushinde na tushirikiane kuleta maendeleo yetu.

Lakini kabla sijaamua, lazima nije kwenu mniamulie maana ninyi ndio waajiri wangu,” alisema Wasira.

Hata hivyo, Wasira ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), alielezea kushtushwa na kile alichokiita maneno ya mitaani kuwa hatagombea ubunge 2015 kwani yeye binafsi hajatamka mahala popote kama mwaka huu ndio muda wake wa mwisho wa kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo.

Alitumia fursa hiyo kuwaomba wapigakura kushikamana na wanachama wa CCM kupiga kura nyingi za Ndiyo wagombea wa CCM katika uchaguzi ujao kwa nafasi za udiwani, ubunge na urais.
 
CCM ina heshima na adabu, ndio maana katika mikutano yake wakinamama uwekwa katika nafasi za mbele. Zaidi wakinamama ndio wapiga kura hapo Tz kama hujui.

Of Course uko sahihi. Hasa watu kama Sofia Simba....na jamii yake!!!!
 
Ingependeza kusema kamanda wako, kwani mie kwangu ni kuruta tu. Aidha picha ya pili kamanda wako ni kama anawasikiliza kuruta wenzake. Saa nzuri? Inawekana ni fisadi huyo.

kamanda hana kifafa wala nini.huyo ni kamanda wetu sote wenye uchungu na nchi hii.ole wenu yatawatokea kwenye m....o.
 
Back
Top Bottom