Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

Wanawake wanamwamko mdogo katika Chadema, hili ni tatizo kwao wapende wasipende
Chadema haisombi watu kwa fuso, haigawi kanga, haina utaratibu wa kuwapa viti vya mbele kinamama kama CCM wanavyofanya anagalia hapa, hawa kama hawajasombwa kuletwa wamekuja na ma VX yao tofauti na kinamama wa Chadema ni wanaokuja wenyewe hasa walio wa hali ya chini.
5yhkip.jpg
 
CCM kazi wanayo,mungu twakuomba umpe afya ya roho na mwili Dr Slaa ili aje wakomboa watanzani ili waanze kuishi maisha wanayostaili
 
Sio Bunda tu, kote anakopita Dr. Slaa inaelekea mikutano yake inahudhuriwa na wanawake wachache. Hata Mwanza na Morogoro ilikuwa hivyo hivyo.

Labda kuna sababu zake. Huenda wanaogopa vurugu za polisi au CCM lakini pia huenda wanawake bado hawajamkubali Dr. Slaa. Majibu yake tutapata baada ya uchaguzi.

Kwa kweli mimi nashindwa kuelewa hawa wanawake wana matatizo gani! Unajua wanawake ni warahisi sana kurubuniwa si mnaona hata mikutano ya ccm wengi ni wanawake? Ni dhahiri kuwa wanaenda simply kwa sababu wanarubuniwa kwa doti ya kanga na t-shirt. Its shaming lakini ndo hivo, na wengi unakuta ni mama ntilie. Mimi nasema sidanganyiki. and am a lady ofcourse.
 
Kuna watu watakuja kusema kajaza watoto utadhani kila anakopita watu wazima wote walishakufa, mambo bado hajafika Musoma na Tarime, hivi Kikwete leo yuko wapi mbona amenywea sana au bado anakula idd tatu.

CCM imekosa malori ya kusomba watu kwenda kwenye mikutano yake!
 
Kwa kweli mimi nashindwa kuelewa hawa wanawake wana matatizo gani! Unajua wanawake ni warahisi sana kurubuniwa si mnaona hata mikutano ya ccm wengi ni wanawake? Ni dhahiri kuwa wanaenda simply kwa sababu wanarubuniwa kwa doti ya kanga na t-shirt. Its shaming lakini ndo hivo, na wengi unakuta ni mama ntilie. Mimi nasema sidanganyiki. and am a lady ofcourse.

Vip hii ya mgombea kuwa "presentable"? nilikutana nayo sana enzi za chuo.
 
Vip hii ya mgombea kuwa "presentable"? nilikutana nayo sana enzi za chuo.
Aina ya watu wanaomshabikia Dr Slaa kwenye mikutano yake ndio tatizo hasa. Wahuni, waliopigika kimaisha, wasio na kazi, wabangaizaji, wote hawa wanaonekana kama watu ambao wako tayari kwa lolote. Mazingira hayo wanawake wanayaogopa sana lakini nadhani kura watampa Dr Slaa kwani naye ameonyesha "kuwapenda".
 
Of course tegemeo la nchi hasa katika kuleta mabadiliko ni vijana. Wazee wa nchi kusema kweli tumeshindwa na sijui imekuwaje labda ni kasumba ya ujamaa!
 
Rev, ogopa sana huo msemo maana kuna bwana mmoja aliutamka hivyo hivyo, AISEEE! baada ya sekunde tano akalamba mchanga. Au wewe REV una kinga isiyoonekana nini?

Aiseee - kwenye uzinduzi wa Kampaini za ccm pale jangwani! - Aiseeeeee
 
Turn up kweli nzuri, Dr. Slaa kweli amebadili upepo wa kampeni, lakini kama hawajajiandikisha bado CCM itaibuka kidedea
 
Chadema haisombi watu kwa fuso, haigawi kanga, haina utaratibu wa kuwapa viti vya mbele kinamama kama CCM wanavyofanya anagalia hapa, hawa kama hawajasombwa kuletwa wamekuja na ma VX yao tofauti na kinamama wa Chadema ni wanaokuja wenyewe hasa walio wa hali ya chini.
CCM ina heshima na adabu, ndio maana katika mikutano yake wakinamama uwekwa katika nafasi za mbele. Zaidi wakinamama ndio wapiga kura hapo Tz kama hujui.
 
Chadema haisombi watu kwa fuso, haigawi kanga, haina utaratibu wa kuwapa viti vya mbele kinamama kama CCM wanavyofanya anagalia hapa, hawa kama hawajasombwa kuletwa wamekuja na ma VX yao tofauti na kinamama wa Chadema ni wanaokuja wenyewe hasa walio wa hali ya chini.
5yhkip.jpg

Hii picha haijajibu hoja kuhusu mwamko wa wanawake katika chadema, haijalishi watakuja kwa vx au kwa boda boda, kinachotakiwa ni mwamko ili mwisho wa siku wawe mstari wa mbele katika kupiga kura. Naamini wanojitokeza kwenye mikutano hao ndo wanatupa picha ya muamko siamini kama wanaweza wakawa majumbani wakisubiri siku ya kupiga kura, ila kama wapo basi ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom