Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

Hii picha haijajibu hoja kuhusu mwamko wa wanawake katika chadema, haijalishi watakuja kwa vx au kwa boda boda, kinachotakiwa ni mwamko ili mwisho wa siku wawe mstari wa mbele katika kupiga kura. Naamini wanojitokeza kwenye mikutano hao ndo wanatupa picha ya muamko siamini kama wanaweza wakawa majumbani wakisubiri siku ya kupiga kura, ila kama wapo basi ni wachache sana.

mbona wote wanalia au ni siku ile mjomba alilamba sakafu?
 
Hii picha haijajibu hoja kuhusu mwamko wa wanawake katika chadema, haijalishi watakuja kwa vx au kwa boda boda, kinachotakiwa ni mwamko ili mwisho wa siku wawe mstari wa mbele katika kupiga kura. Naamini wanojitokeza kwenye mikutano hao ndo wanatupa picha ya muamko siamini kama wanaweza wakawa majumbani wakisubiri siku ya kupiga kura, ila kama wapo basi ni wachache sana.

Kwa jinsi walivyonawiri, sidhani kama ni wanawake wa kawaida hawa. Kwanza ni wazee lakini ndo kwanza wako kam wasichana! Hawa ni viongozi na wake wa vigogo wanaonufaika na huu mfumo wa chukua chako mapema Period! Na waone walivyochanganyikiwa , hawna huruma na JK, ila wana wasiwasi JK akiondoka basi pepo yao ya ufisadi itakukwa imeyeyuka!
 
Umegusa penyewe
 
Kyela%202.jpg
 
Either ni njaa zinamsumbua au hofu ya kuhofia ile mirija ya ufisadi anayoipata itayeyuka eti haiwezekani kwani JK nani mungu yeye??? Tanzania bila rehema za mmungu amani haiwezekani na sio bila ya CCM haitatawalika!!! Hizo ni njaa au hofu ya mirija ya ufisadi kuyeyuka tu na ndio wengi wapo hivyo hakuna zaidi....
 
Kila mtz anayo haki ya kushabikia chama akipendacho kutokana na maono yake, maza karidhika na ccm ww umeridhika na chadema hakuna sababu ya kumuona hana maana.
 
Pamoja na kuwa jamaa yetu anapenda sana wanawake kiasi cha kujivua uchungaji wa kanisa, kashindwa kabisa kuwavuta wanawake katika Chadema.
 
Kwa jinsi walivyonawiri, sidhani kama ni wanawake wa kawaida hawa. Kwanza ni wazee lakini ndo kwanza wako kam wasichana! Hawa ni viongozi na wake wa vigogo wanaonufaika na huu mfumo wa chukua chako mapema Period! Na waone walivyochanganyikiwa , hawna huruma na JK, ila wana wasiwasi JK akiondoka basi pepo yao ya ufisadi itakukwa imeyeyuka!

Issue ni vote hapa, thamani ya kura haijalishi umenawiri au umepauka, kama wamenawiri na watapiga kura hapo wanakuwa na manufaa kwa mgombea wao, lakini kama hawatapiga kura hawatakuwa na maana, halikadhalika kwa hao unaosema na kudhani hawajanawiri sijui wamechoka au wamepauka kinachotakiwa ni kupiga kura kama hawatapiga kura nao watakuwa hawana maana. Sipendi kuamini wote walionawiri ni miongoni mwa wala chochote.
 
Nionavyo mimi kavaa vile vigunia tulivyokuwa tunaviita vi-sulphate (sijui vinaitwaje siku hizi) halafu anadunda mtaani bila aibu, Inawezekana CCM wamemtoa milembe huyu kuja kuwafanyia kampeni.
Kuna jamaa ataenda milembe soon after uchaguzi, siku hizi anaitwa santuri.
 
ccm hapa mwanza inagawa pesa na khanga kwa wafuasi wake, ni waazi , si kificho, wanabembeleza wafuasi waje kwenye mikutano, magari yalipelekwa Geita, na wilaya nyingine kuwabeba mafisadi wenzao, lakini kwa CHADEMA , wanajileta wenyewe, wanakuja kutokana na mvuto wa hoja na sera.
 
Wuaza pipi na barafu wamejaa.. je wamejiandikisha wote hawa?

Wewe kujiandikisha kwao kunakuhusu nini?
Mbona unapenda sana kuwa nje ya topic?

Mara watu wake wameamka sana wala hawana nidhamu ya uoga wala kujipendekeza kwa hao ccm ....

Na bado subiri CHADEMA wakifika Tarime na Rorya uone mziki wake!
Hukuna longolongo , wananchi tushachoka na maneno matupu ya ccm ya miaka nenda rudi!

Go go go... Dr. Slaa!
 
Back
Top Bottom