Slaa hili mbona hulisemei? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa hili mbona hulisemei?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by GeniusBrain, Apr 12, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama Dr. Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sikubaliani na point hii!
  Kama kutakuwa na ongezeko la ajira, basi kutakuwa pia na ongezeko la uzalishaji, and, as an altimatum the situation will off-set itself, na hakutakuwa na mfumiko wa bei.
  Lakini, labda ueleze vizuri katika suala lako, hizo ajira zimepanda lini, na kwenye maeneo gani?....labda ukijibu hapo ndio tutaenda vizuri, na si kujadili from a virtual point of view!
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Pandikizi la CCM lilohitimu secondary za kata
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  nilikuwa napita tu...

  sorry for disturbance
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jibu hoja, au na ww ndio wale wale maimuna ? jitoe jamvini uwaache great thinkers tu humu
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hoja hii nzito pita tu kwani huiwezi mkuu
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280

  i didnt know ur so dumb and empty... unapoandika chochote humu uwe unajua sio wasomaji wote ni weupe kichwani kama wewe
   
 9. d

  dotto JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  'fOLENI ZA MAGARI DAR NI KUPANDA KWA UCHUMI' by Economist J.K.( Pres. URT)-July,2010
   
 10. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyo mchumi aliyesema hivyo ni zao la sekondari zenu za kata. Ajira ikiongezeka si uzalishaji pia unaongezeka? Na hizo ajira kama zimeongezeka bila kuwepo kipato cha kutosha kuwalipa basi ni ajira zisizo na tija kama zile za serikali za kuajiri kwa kujuana hata kama mwajiriwa hana kazi ya kufanya. Kwa hiyo wage bill inakuwa kubwa kuliko productivity, which is a big problem in our ccm government
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha kubisha kitu ambacho kama hukijui, haya lete ww data zako basi ! jibu kwa hoja na data sio maneno, kama uwezi wahi jikoni ukakate nyanya mama anakuita ukamsaidie
   
 12. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inawezekana sababu yako ina ukweli,
  Lakini unataka kutuambia kuwa AJIRA tanzania zimeongezeka?
  Na je kwanini watu walalamikie gharama za maisha kupanda kama mzunguko wa pesa ni mkubwa?
  ni hayo
   
 13. w

  wikolo JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa nini alisemee Slaa na si mwenye dola mwenyewe? Anyway labda wewe unajua zaidi sababu,vinginevyo ni vile vile tu kwamba Slaa anawanyima watu wengi sana usingizi.
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi
   
 15. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,972
  Likes Received: 20,334
  Trophy Points: 280
  Unataka kusema kuwa saccos zimeongeza kipato cha wananchi wa vijijini!! 'ukipenda..... sepeto unaweza kuiita kijiko kikubwa
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nimewatoa hapa na kuwapeleka pale (by JK mdahalo)
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sababu anazotoa slaa ni za kuchagua chagua ambazo haja yake kubwa ni kutafuta umaarufu wa kisiasa kuliko kuwaelimisha watu
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jibu hoja acha bla bla au mambo haya ya uchumi ww huyawezi km slaa
   
 19. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Samahani mkulu, inaonekana hii elimu ya uchumi waliyopata hao watu ni ya kukariri zaidi kuliko kuelewa, pia ninamashaka sana na kiwango chako cha elimu, asante mkulu.
   
 20. Joyum

  Joyum Senior Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh hii kali sana. Ukiona hivyo huyo atakua anafikiria ka Idd Amin vile! Huwezi kuwa na ongezeko la ajira bila production. Kwa mfano kama ni waalimu watatoa graduate ambao pia waproduce katika sector mbalimbali, kama wakulima wanaopata maelekezo kutoka kwa graduates wa kilimo wataproduce hence kila kitu kitabalance. Anyway nafikiri huyo alikua anaexpress haki yake ya kuongea. Ila kwa TZ yetu watu wanaweza wakawawamefungua viofis vyao vya kufanya money laundry ameajiri watu hawaproduce chochote anawapa mshahara mkubwa mana office inasafisha hela toka kwenye dirty dieals. Yote yanawezekana TZ bwana, hi ni nchi zaidi ya uijuavyo
   
Loading...