Slaa hili mbona hulisemei?

ndugu hao waliosema kuwa kuongezeka kwa ajira kumechangia mfumuko wa bei hawajui uchumi kabisa.mfumuko wa bei umesababishwa na mambo mengi mno ila kubwa zaidi ni geopolitics na economic revary between europe and fast growing economy of middle and far east. japo wanazuoni weng hawalijui hilo na ndo mana hata kulipatioa solution wameshindwa.
 
Unataka kusema kuwa saccos zimeongeza kipato cha wananchi wa vijijini!! 'ukipenda..... sepeto unaweza kuiita kijiko kikubwa

Ndio maana yake, kama umewezeshwa kuanzisha shughuli hapo ina maana idadi ya watu ambao hawana ajira inapungua !
 
Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%

The difference between stupidity and genius is that genius has its limits.
Albert Einstein
 
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi

We kweli jinius brein!!!
Nikuulize mkuu, nawewe unasemaje, ni kweli ajira zimeongezeka?
 
ndugu hao waliosema kuwa kuongezeka kwa ajira kumechangia mfumuko wa bei hawajui uchumi kabisa.mfumuko wa bei umesababishwa na mambo mengi mno ila kubwa zaidi ni geopolitics na economic revary between europe and fast growing economy of middle and far east. japo wanazuoni weng hawalijui hilo na ndo mana hata kulipatioa solution wameshindwa.

Hilo linaeleweka, ww ndio hukuwaelewa wanachosema mojawapo ya sababu, hawajakuambia hiyo ndio sababu kuu, soma uelewe kwanza
 
Huyo mchumi aliyesema hivyo ni zao la sekondari zenu za kata. Ajira ikiongezeka si uzalishaji pia unaongezeka? Na hizo ajira kama zimeongezeka bila kuwepo kipato cha kutosha kuwalipa basi ni ajira zisizo na tija kama zile za serikali za kuajiri kwa kujuana hata kama mwajiriwa hana kazi ya kufanya. Kwa hiyo wage bill inakuwa kubwa kuliko productivity, which is a big problem in our ccm government

Wewe ndio elimu yako ina walakin, kuongezeka kwa ajira kunaongeza purchasing power ambayo inaongeza money circulation hence inflation.
Nina wasi wasi na mwl wako wa uchumi kama hata point ndogo hivi inaleta shida, go back to the basics of economics
 
We kweli jinius brein!!!
Nikuulize mkuu, nawewe unasemaje, ni kweli ajira zimeongezeka?

Mie nakubaliana nao kabisa ajira zimeongezeka, sema sasa ww maana ya ajira unavyoielewa ww si sawa na ninavyoielewa mie , hapo ndipo tunapoweza kugongana kimtazamo
 
Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%
kwa ujinga wako unakubali kila unachoambiwa bila tafakari ya kina. Wewe ni maskini kabisa. . .
 
Wewe ndio elimu yako ina walakin, kuongezeka kwa ajira kunaongeza purchasing power ambayo inaongeza money circulation hence inflation.
Nina wasi wasi na mwl wako wa uchumi kama hata point ndogo hivi inaleta shida, go back to the basics of economics

Mkuu hapo kwenye red bold, atarudi vipi wakati ni product ya Shele za Kata; kwani umeona huwa wanafika wapi!!!
More than 95% huwa wanabaki mtaani..... hao ndo hawa wanatusumbua.

Wewe mtu analeta argument za kwenye kipindi cha redio!!! Nahisi aliyesema hiyvo alikuwa msikilizaji aliyechangia kwa simu!!!! Fyuuuu...
 
Wewe ndio elimu yako ina walakin, kuongezeka kwa ajira kunaongeza purchasing power ambayo inaongeza money circulation hence inflation.
Nina wasi wasi na mwl wako wa uchumi kama hata point ndogo hivi inaleta shida, go back to the basics of economics

Well elaborated ! thanx
 
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.

Kukusaidia tu wewe inaonekana umebeba majibu ya kisiasa kama zuzu... hebu tupe hizo figure zinazoonesha kuwa ajira zimepanda kwanza ili tuweze kuijadili hii mada vizuri... Ila ninachokuhakikishia ni kwamba mfumuko wa bei huja pale ambapo benki kuu inakosa control ya mzunguko wa fedha. Na wamekosa control sababu fedha zinaingia kwenye mzunguko bila ya wao kujua a.k.a pesa zinazoingizwa kwa rushwa au biashara haramu... kitu kingine kinachosababisha inflation ni pamoja na kushuka kwa mauzo yetu ya nje hivyo kuwa na gap kubwa kati ya imports na exports... Kuna sababu nyingi sana lakini hii ya kuongezeka kwa ajira haipo, haijawahi kuwepo na haitokuwepo hata siku moja kwani ni uongo!!!

You can go through these 2 papers below if you like and have time....

http://www.imf.org/external/pubs/ft/wp/2001/wp01198.pdf

http://129.3.20.41/eps/mac/papers/0409/0409018.pdf
 
We kweli jinius brein!!!
Nikuulize mkuu, nawewe unasemaje, ni kweli ajira zimeongezeka?

Inaeezekana ajira zisiongezeke lkn purchasing power ikaongezeka. Hii upelekea watu kuspend sana kwenye imported luxuries ambayo ndiyo inapelekea kushusha thamani ya Tshs yetu hence chanzo kingine cha inflation. M fano mdogo ni magari na petrol.
Hivyo msiojua kaeni kimya acheni jazba, kuna mambo mengi ambayo wanasiasa hwwatuambii, hivyo akili za mbayuwayu changanya na za kwako..........
 
kwa ujinga wako unakubali kila unachoambiwa bila tafakari ya kina. Wewe ni maskini kabisa. . .

Ww sasa ndio mbumbumbu kabisaa, acha tukuelimishe na usione aibu kwa hili mkuu ! hapa ndio home of great thinkers , na ndio sie bana !
 
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi

Umeona wapi ushahidi kuwa wanakusanya TZS 400bn kwa mwezi za kodi?
 
Inaeezekana ajira zisiongezeke lkn purchasing power ikaongezeka. Hii upelekea watu kuspend sana kwenye imported luxuries ambayo ndiyo inapelekea kushusha thamani ya Tshs yetu hence chanzo kingine cha inflation. M fano mdogo ni magari na petrol.
Hivyo msiojua kaeni kimya acheni jazba, kuna mambo mengi ambayo wanasiasa hwwatuambii, hivyo akili za mbayuwayu changanya na za kwako..........

Mkuu wewe umeelewa sana hawa jamaa walichosema na umbumbumbu wa baadhi ya wana JF kuhusiana na masuala ya uchumi, hili liko wazi kabisa , utakuwa ni mwendawazimu kulibishia hili
 
Inaeezekana ajira zisiongezeke lkn purchasing power ikaongezeka. Hii upelekea watu kuspend sana kwenye imported luxuries ambayo ndiyo inapelekea kushusha thamani ya Tshs yetu hence chanzo kingine cha inflation. M fano mdogo ni magari na petrol.
Hivyo msiojua kaeni kimya acheni jazba, kuna mambo mengi ambayo wanasiasa hwwatuambii, hivyo akili za mbayuwayu changanya na za kwako..........

Mkuu Mbona mapovu yanakutoka? Acha kudandia treni kwa mbele....
 
me kwaupande wangu ajira zimeongezeka mana uoni kutoka kamati ya nishati na madini adi kirisishwa madaraka na baba bado unalia una ajira?
 
Back
Top Bottom