Slaa hili mbona hulisemei?

Mie sie mtaalamu wa uchumi ila kuna mtaalamu amenijuza kuwa kuongezeka kwa ajira inaweza kuwa ni matokeo (result) ya inflation rather than sababu (cause) ya inflation. Pia anadai inflation sio lazima i-sustain high employment. Kwa mfano commitment ya serikali ya kuwepo kwa ajira nyingi inaweza kusababisha fiscal and monetary policies ambazo ni inflationary. Anachojaribu kutofautisha ni high employment as the result rather than the cause of inflation. Wataalamu mnasemaje?

ulichojuzwa umekifanyia utafiti au na we umekurupuka tu, uka copy na ku-pest??
 
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama Dr. Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.

Hao waliokuwa kwenye huo mjadala pamoja na wewe wote MNAJIDANGANYA na Kudanganya pia.....nani kakwambia kupanda kwa ajira kunaleta inflation? Inflation inaletwa pale ambapo serikali inaamua kuchapa hela zaidi ya mahitaji kama walivyofanya BoT majuzi...Na hilo husababisha pesa nyingi kuingia katika mzunguko wakati kuna huduma na bidhaa chache......kuongezeka ajira kunaleta nguvu ya manunuzi tu kwa wananchi ambalo ni jambo zuri kabisa kwa vile linasukuma mzunguko wa pesa kwa kazi zaidi....bila kuhitaji kuchapisha mahela mengi na BoT
 
Mabenki, kampuni za simu na NGOs wanazalisha bidhaa gani???
je ulishawahi nunua mkate toka VODACOM au sukari toka NBC??? acha kuchangia usichokijua!!!

Duh! Mie sio mchumi lakini I am sure bidhaa include goods and services.
 
ulichojuzwa umekifanyia utafiti au na we umekurupuka tu, uka copy na ku-pest??

Nitaanzia wapi wakati nimesema kabisa kuwa sion mtaalamu wa uchumi. Tulikuwa kijiweni tunaeongelea issue ya inflation Tanzania, ndio mchumi akaghusia hilo. Kuja JF nakutana na issue hiyo hiyo. That why I put her point here. I am just learning.
 
Back
Top Bottom