Slaa hili mbona hulisemei?

Umeona wapi ushahidi kuwa wanakusanya TZS 400bn kwa mwezi za kodi?

Duh, yaani ww ni mvivu wa kufikiria na kusoma kiasi hicho ? soma taarifa za TRA za kila mwezi (nenda pale makao makuu watakupa), soma taarifa za BOT za kila mwezi hizo ziko kwenye BOT website download usome na utapata na mambo mengine humo ya kuhusu money in circulation, inflation, government expenditures, implementation ya fiscal and monetary policies etc
 
Ccm ni genge la watu duni , ambao kwao wanamuona Tambwe hiza ni role model, usishangae kuona wanaongozwa wa wajinga humu kwenye Jf.
 
Acha kubisha kitu ambacho kama hukijui, haya lete ww data zako basi ! jibu kwa hoja na data sio maneno, kama uwezi wahi jikoni ukakate nyanya mama anakuita ukamsaidie
Wewe pia hukuleta data zaidi ya kusema ulisikia ajira zimepanda, mfumko wa bei umezidi.
Hebu wewe tupe data za ukosefu wa ajira upo asilimia ngapi na mfumko wa bei uko asilimia ngapi?
 
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi

Mapato ya kodi yanaweza kupanda pia ikiwa ukwepaji na ulaji wa kodi umepungua sio lazima uzalishaji umeongezeka..
 
Ccm ni genge la watu duni , ambao kwao wanamuona Tambwe hiza ni role model, usishangae kuona wanaongozwa wa wajinga humu kwenye Jf.

Duh, ww kweli ndio umekata tamaa na maisha kiasi , unasema watu duni wakati ndio wanakuongoza na wenye dola pia . Kwa taarifa yako hakuna chama chenye think tank kubwa kama ccm
 
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.

Hiyo siyo point ya uchumi ndiyo sababu Slaa hakuisema. Ungetuletea pia jina la huyo mchumi aliyesema hilo ili tujue ana nafasi gani kwenye serikali yetu. Inawezekana hii ndiyo sababu hali ya uchumi wetu ni mbaya kutokana na idadi ya wachumi wengi wa design hii. Ingawa mimi si mchumi, ila hutakiwi kusoma uchumi ilikuelewa hili. Nafikiri point hukuielewa vizuri.
 
Mapato ya kodi yanaweza kupanda pia ikiwa ukwepaji na ulaji wa kodi umepungua sio lazima uzalishaji umeongezeka..

Sio nyie huku JF mlio leta thread kuwa ukwepaji wa kodi umezidi ? sasa itawezekanaje watu wakwepe kodi kiasi kikubwa na hapo hapo mapato yaongezeke ?
 
....hizo ni theories ambazo practicability yake haipo hapa TZ!!! jamaa alitoa possible causes za inflation in general ambapo ali-mention kama 5 bila ku-sight Tanzania. Then akahisi zipi zinaweza kuwa ndio sababu hapa Tanzania.
Pia, asipo-comment kitu Slaa (PhD), njia ya haja kubwa inakuwasha? Wanaolalamikia sky-rocketing inflation Tanzania ni Slaa (PhD) peke yake?
Afadhali yako wewe usiyeguswa na inflation ya Tanzania ambaye ukienda sokoni unaonyesha kadi ya CCM then unapata discount.
 
Hiyo siyo point ya uchumi ndiyo sababu Slaa hakuisema. Ungetuletea pia jina la huyo mchumi aliyesema hilo ili tujue ana nafasi gani kwenye serikali yetu. Inawezekana hii ndiyo sababu hali ya uchumi wetu ni mbaya kutokana na idadi ya wachumi wengi wa design hii. Ingawa mimi si mchumi, ila hutakiwi kusoma uchumi ilikuelewa hili. Nafikiri point hukuielewa vizuri.

Umeisha sema ww sio mchumi, kaa pembeni huu ni uwanja wa watu wanao jua uchumi. Kutokana na kutojua kwako ndio maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mkuu, ulioni hilo ww ?
 
Hivi mbona watu wanashangaza! Unawezaje kuongeza ajira halafu uzalishaji ukapungua? ARE YOU SERIOUS? Kila unapoongeza ajira mpya tegemea ongezeko fulani la uzalishaji. Huwezi kusema tumeongeza ajira wakati hali ilivyo sasa OUR GENERAL CONSUMPTION EXCEED OUR PRODUCTION. Ndio maana tunagombania mikate, sukari, cement na vinginevyo kwenye retail trading. Kama tukiongeza ajira tunamaanisha kuongeza uzalishaji
 
....hizo ni theories ambazo practicability yake haipo hapa TZ!!! jamaa alitoa possible causes za inflation in general ambapo ali-mention kama 5 bila ku-sight Tanzania. Then akahisi zipi zinaweza kuwa ndio sababu hapa Tanzania.
Pia, asipo-comment kitu Slaa (PhD), njia ya haja kubwa inakuwasha? Wanaolalamikia sky-rocketing inflation Tanzania ni Slaa (PhD) peke yake?
Afadhali yako wewe usiyeguswa na inflation ya Tanzania ambaye ukienda sokoni unaonyesha kadi ya CCM then unapata discount.

Toa hoja acha kulalamika mkuu, mbona great thinkers nyie wa JF mmekuwa bongo lala kiasi hicho ? amka kijana !
 
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi

400b imeongezeka kutoka kiasi gani? Je ajira zimeongezeka kwa kias gan? Vip idadi ya watu? Umeangalia time value of money? Shangilia hizo 400b kwa mwezi kama umeshayaangalia haya
 
Hao ndio washauri wa uchumi wa CCM. Wanataka kuvumbua, kimabavu, sababu mpya ya mfumuko wa bei! Sawia na kujivua gamba nusu nusu - unaondoa mwilini kichwa unaacha!
 
Hao ndio washauri wa uchumi wa CCM. Wanataka kuvumbua, kimabavu, sababu mpya ya mfumuko wa bei! Sawia na kujivua gamba nusu nusu - unaondoa mwilini kichwa unaacha!

Gamba la udini + ukabila + ukanda wa CDM nalo latakiwa kuvuliwa, soma maneno aliyosema Prof. Safari siku anakabidhiwa kadi ya CDM
 
Hivi mbona watu wanashangaza! Unawezaje kuongeza ajira halafu uzalishaji ukapungua? ARE YOU SERIOUS? Kila unapoongeza ajira mpya tegemea ongezeko fulani la uzalishaji. Huwezi kusema tumeongeza ajira wakati hali ilivyo sasa OUR GENERAL CONSUMPTION EXCEED OUR PRODUCTION. Ndio maana tunagombania mikate, sukari, cement na vinginevyo kwenye retail trading. Kama tukiongeza ajira tunamaanisha kuongeza uzalishaji

Ww somo la uchumi lilikupita pembeni mkuu, uwezo wako wa kufikiri hapo ndipo umefikia kikomo !
 
Inflation simply is too much money chasing a few goods. Yaani pesa nyingi kwenye mzunguko wakati uzalishaji ni mdogo. Hivyo mwenye fedha analazimika kununua kwa bei ya juu kwa sababu bidhaa ni kidogo.
Sasa sababu za kuwa na fedha nyingi kwenye mzunguko ziko nyingi. Mtoa hoja anataka kutuaminisha kuwa ajira imeongezeka na hivyo kusababisha kuwepo kwa fedha nyingi lakini hajiulizi hawa walioajiri wanawalipa kutoka wapi iwapo uzalishaji hakuna? Kwa mwajiri yeyote aliye makini hawezi kuajiri wakati uzalishaji hakuna, hivyo kuongezeka kwa ajira hakuwezi kusababisha inflation. Kwa Tanzania uzalishaji mdogo umesababishwa na tatizo la umeme, ufisadi (fedha ambazo zingewekezwa zimeliwa na chombo husika (BoT) kushindwa kutumia monetary measures ku-control inflation.
Tatizo la ufisadi ni kubwa kwani limesababisha ajira kutokwenda sambamba na labour-force. Mafisadi wanawekeza nje hivyo ajira zinatengenezwa nje, kodi kidogo inayokusanywa kwenye migodi inasababishwa na 10% ambayo wakubwa wanaiwekeza huko huko nje - je ajira local zitatoka wapi? Viwanda tulivyobinafsisha vingi havizalishi tena, mashine ziling'olewa na kupelekwa nje hivyo kutengeneza ajira nje na kudumaza ajira za ndani - haya yote yansababisha uzalishaji mdogo.
Hivyo mkuu anayesema ajira zimeongezeka kiasi cha kusababisha inflation has to think twice!
 
Daah hii thread noma Naona kuna haja ya kutafuta data kabla ya kuchangia chochote. Ebu kwanza nitarudi baadaye
 
Back
Top Bottom