Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Teh teh teh teh! Mkuu paka akitaka kupita kwenye uchochoro mwembamba huwa anaupima upana wake kwa masharubu. Tatizo la huyu mwenye akili kuliko wote hakuchungulia ndani ya nyumba kuna nini matokeo yake hatujui tunakoelekea kila ukiamka utatamani ya jana. Nchi inaenda kimsopolosopolo
 
Sizonjeee uliona mepesi sasa wajuta Sizonje

Tujikumbushe kauli tata za Sizonje zilizopelekea Uchumi kudorora:
  1. Mimi ni wa TOFAUTI sana bwana huwa SIJARIBIWI.
  2. Nataka niwashushe kutoka mishahara waliokuwa wanaishi kama MALAIKA sasa waishi kama MASHETANI.
  3. Nchi hii TAJIRI sana isipokee MISAADA baali itoe MISAADA.
  4. Tanzania ya MAGUFULI itakuwa ya VIWANDA!
  5. Nikiingia madarakani wanafunzi wote watapata MIKOPO!
Uhalisia wa matokeo ya kauli za Sizonjee ni km ifuatavyo:
  1. Tayari ANAJARIBIWI na kisiki cha UCHUMI wa nchi!
  2. Watz wote tumeshushwa tunaishi kama MASHETANI!
  3. Misaada ya TETEMEKO kaitapeli kujenga MIUNDOMBINU!
  4. Mpaka sasa HAKUNA KIWANDA alichojenga walau KIMOJA.
  5. Hakuna MIKOPO tuna hakiki wanafunzi HEWA!
 
Hivi wale "Forbes" waliotushindanisha na "peoples of Rwanda" hawawezi kutuletea mpambano kati ya Sizonje na Lusungo wa jf?Maana bandiko hili kama sizonje akilisoma kwa unyenyekevu linaweza kumsaidia na kumpatia fursa ya kujisahihisha.
Mkuu mara hii umesahau sizonje huwa hapendi kukosolewa? Yeye huwa anapenda vifijo, ndelemo na vigelegele
 
Umemaliza mkuu!!
 
[emoji115] Shukuru Akaa kamrija kako bado kanàtoa mvinyo,ila muda simrefu utakuja hapa uwanjani .Muulize Shigongo imekuwaje
Akina Shigongo kihere here kimewaponza!! Si yeye tu wapo wengi!!! Sasa wanapumulia mashine...
 
Unarelax humu Jf !!?.unajua kweli maana ya kurelax au ulimi umeteleza [emoji844]
Mkuu hao ni kula kulala!! Maisha kwao ni kununuliwa bundle na ku log in JF baas!!
 
Kabisa mkuu, shida kubwa ya kocha Sizonje ni kujiona mjuaji sana!! Sasa anaharibu kila kitu!!
 
Na bado, hamjui kuishi na kanuni za maisha. Mnataka free lunch, lazima tukae sawa!!!
 
Mi naikumbuka kauli moja ya kocha Sizonje... alimwambia kocha mwenzie wa timu ya daraja la pili kule kwenye visiwa... Kuwa laiti kama yeye ndo angekuwa kocha wa timu ile... asingesaini malipo ya kocha wa timu B inayopambana kupanda daraja. Kumbe Sizonje hata kanuni za soka hazijui... Looo

Ama kweli sizonje ni mbabe kama Anodi Swaziniga, stelingi hauwawi.
 
Doh ni janga sugu la wazawa kuwa na huyu kocha!!!
 
Sasa na wewe mbona unajifanya mjuaji?
 
Wakulaumiwa hapa ni kikwete kutembea na karatasi mfukoni

Zisonje ualimu mkuu haumfai, labda afsa takwimu maana anakariri sana
Ha ha ha ha [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kocha Sizonje anatumia mfumo wa 9-1. Anapenda kujilinda sana na awapi upinzani nafasi kufika golini kwake. Tatizo ni timu yake haiwezi kushambulia na kupata matokeo.
Kila siku ni droo au kichapo. Na mkataba wake bado mbichi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…