Inasikitisha kuliko kula rambirambi?Hii thread imesadifu kipimo cha IQ za watanzania! Huwezi amini hawa ndio intellectual's hapa nchini halafu wameandika pumba namna hii! Yaani mazungumzo yao ya kawaida sana! Kwakweli inasikitisha!
Wanaofurahia na kuchekea umaskini unaotukabili wauzoea ujinga ujinga kwani ujanjaujanja hawauwezi.Wanaolalamika na kulialia ndio waliochanganyikiwa. Na mtalalamasana safarihii mlizoea ujanjaujanja.
Mkuu, jina la mtukufu wetu Rais hua halitajwi tajwi hovyo hovyo na nashangaa umeliletaje hapa. Habari zenu za siasa pelekeni hukoo hapa tuna discuss mpira na kocha wetu sizonje utuache tafadhali!!
Magufuli simamia kabisa mpaka Raia hewa tuwajue awamu hii!
Punguza jazba.Akillizako ndio za kimaskini, wakati wewe unalialia wenzako tunachangamkia fursa na kuzitumia.
Golikipa wa zamani wa Simba na Taifa stars.Nilijua ni mimi tu.
Unamfahamu Sizonje vyema.Sizonje pengine angepewa kazi ya kufua jezi kila baada ya mechi lakini si ukocha, ona sasa timu inashuka daraja.
kaka! umefanya ubunifu bab' kubwa.Doh yaani hujamjua tu Sizonje?
Kosa jingine analofanya Sizonje ni kuwafuga matahira kama wewe.Hata mkiimba nyimbo gani MTU wenu asahau kwenda Ikulu kabisaaaa!
Na kuna uwezekano ndio wanaoongoza kwa level ya umaskini...Makubwa, kuna mambo huwa yanatokea Tanzania tu.
Kwakweli nawadharau wananchi wanaokaa majimbo ya wabunge wa hivyo hasa wagogo wa Mtera hawa kichwani hamna kitu ni bure kabisa.
na kocha m'bovu huaribu timu.Tatizo lenu mpo kama watoto walioachishwa ziwa kunyonya huwa wanalia usiku kucha wakiona wanaonewa na ni haki yao kunyonya siku zote kumbe hawajui kuna hatua zinazofuatia mbeleni pengine zitakuwa nzuri au mbaya huo ni mfano tatizo sio Magufuli tatizo ni mfumo na maisha tuliozoeya kuishi ya wizi, ulaghai ,rushwa, dhuluma na mengine yafananayo nayo, sasa Rais anajitahidi kurudisha katika misingi na mfumo uliobora wa kuyafikia malengo watu mnaona taabu ,
Hii nchi jama hata angelishuka malaika kwa hali iliyokuwa imefikia hangeweza kuiongoza humu kila mtu msemaji kila mtu mjuaji cheusi kita takatishwa kuwa cheupe inabidi kujitoa ufahamu tu kuiongoza hii nchi watanzania hatubebeki ,
Mmesahau kuna mikataba ya miaka mia moja humu hembu tuwe na utu jama tumsaidie Rais kuendesha hili gurudumu la maendeleo tuache kulia lia Mungu hapendi namalizia kusema asiyefanya kazi na asile na mikono milegevu hujenga paa bovu.
Sizonje si ndio noninoo... Anaikochi timu kwa miaka 5 ila mmoja tayari kaumaliza juzi tu hapa toka akabidhiwe timu rasimi.Jamani mmeniacha Gizani.sizonje ndo nani