Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje bado nina imani n.a. wewe ila huku kwenye uchumi mambo si shwariii bado unamda wa kufanya vizuri mafuta yakawa asali tafuta watalamu as uchumi kaa nao meza moja uone
"

"Individual savings/holding is collectively harmful in economic growth"

Holding/savings ipo hazina tu,ndo maana inaona hali ni mbaya,Mtu mmoja kahold pesa
 
Kiongozi ni kama jalala.

Tutasikia mengi sana

Yetu ni 5 + 1 senses
 
wakimshauri kinyume anawafuta kazi,wanatakiwa wafate anavyotaka
Baso hakuna haja ya kuwa n.a. washauri wa rais n.a. kama tumeshidwa kisasa basi tufanyekienyeji tumletee kamati ya ufundi atuangalizie kuhusu uchumi
 
Matisi ya jumla jumla hapa jukwaani hayakubaliki, ni lazima ajibiwe kwa uzito uleule.

Ila JF kiboko nimepata na daughter Samira humu humu. Watu wana mamboo.
Ahahaaaaa ama kweli JF kiboko yao.

Mi mwenyewe nilikuwa sijui kama ni Mnyalu hadi nilipofahamishwa humu na walimwengu.

Samira hajambo lakini?
 
Sizonje,hii ndio nyumba yetu..milango ipo ila watu wanapita madirishani!
Tatizo la sizonje ni kuhisi kuwa yeye ndie muarobaini wa matatizo yanayoikabili hii nyumba yetu.. Hapana,ni taasisi imara!
Tena sio kitoto..ni imara kwelikweli!
 
Ahahaaaaa ama kweli JF kiboko yao.

Mi mwenyewe nilikuwa sijui kama ni Mnyalu hadi nilipofahamishwa humu na walimwengu.

Samira hajambo lakini?
Ila nilichogunduwa maisha magumu yanachangia sana, maisha ya Mtanzania inahitaji uwe mtulivu sana ndio uepuke stress.

JF imekuwa ndio Kimbilio la watu kuondowa stress zao.
 
Ungejua jinsi sisi wakulima wa korosho huku kusini tunavyofaidi uongozi wa Sizonje ungebadili hayo malawama.
Pikipiki na vifaa vya ujenzi vinatoka madukani kwa kasi ya ajabu.Juzi mkulima wa kawaida alifariki kwa mshituko baada ya kupokea milioni 17 za malipo ya korosho.Alishituka kwa kuwa hajawahi kupokea kiasi hicho.
 
Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
Nani akfungwa kwa kuota?
 
Ungejua jinsi sisi wakulima wa korosho huku kusini tunavyofaidi uongozi wa Sizonje ungebadili hayo malawama.
Pikipiki na vifaa vya ujenzi vinatoka madukani kwa kasi ya ajabu.Juzi mkulima wa kawaida alifariki kwa mshituko baada ya kupokea milioni 17 za malipo ya korosho.Alishituka kwa kuwa hajawahi kupokea kiasi hicho.
kusini mwa malawi labda mbona hku kusin mwa tz 2meshavuna?
 
Ungejua jinsi sisi wakulima wa korosho huku kusini tunavyofaidi uongozi wa Sizonje ungebadili hayo malawama.
Pikipiki na vifaa vya ujenzi vinatoka madukani kwa kasi ya ajabu.Juzi mkulima wa kawaida alifariki kwa mshituko baada ya kupokea milioni 17 za malipo ya korosho.Alishituka kwa kuwa hajawahi kupokea kiasi hicho.
Kwahiyo stakabadhi ghalani inaanza kulipa
 
Back
Top Bottom