Hahaha hatariNi utabiri tu, kama gambaz yalipata habari za Filikunjombe kuanguka na chopa na bado yakakanusha halafu baadae yakathibitisha je, unadhani mr kidevu akipigwa ngwara na mamvi yatakubali bila visingizio??
Anatumia ungo, ungo huenda kasi kuliko ndege!Hivi Kutoka dar-mwanza ni masaa mawili kweli? Hata kama ni V12 haiwezekani,? Au siku hizi mzee jpm hatumii tena njia ya barabara ili ajue matatizo ya wa Tz
Hivi ni makosa watoto kumuona rais wao ajaye na utukufu mkubwa?
Kila mtu anakunya we kaa na mavi kwa sikukama hujafunga utumbo wacha watu wanye bwana , lakini magufuli anaisoma namba Mwanza
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!
Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!
Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!
Jiongeze angalia Star Tv hapo, Mwanza sio mafuriko bali ni maporomoko
hizo gharama zimefanya hazina ikauke shilingi kupoteza hadhi
pole zako yericko,magufuli bado hajafika mwanza
Naona Mabasi Ya Zakaria,malori Yanapiga Shanting,bodaboda Wote Ni Bendera Za Ccm,pale Sahara Walikuwa Wanagawa Buku 5 Na Tisheti Na Unaandikwa Jina,sasa Sijui Kutakuwa Na Kusomwa Pale Uwanjani!?Ccm Kwakweli Kwa Mwanza Hali Ngumu
ukawa punguzeni uzushi,nasikia white hair alijinyeaupo naye?
Kushangiliwa na kuji nye....... Kipi bora????
Kushangiliwa na kuji nye....... Kipi bora????