Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

hizo gharama zimefanya hazina ikauke shilingi kupoteza hadhi
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

mwanza ipi mbona yuko vingunguti
 
We karani wa Vibaka Ltd ndo umetumwa kuleta uozo hapa? Hakikisha unapata malipo wiki hii else baada ya kusambaratishwa wiki ijayo hakutakuwa na malipo

Na ww tuambie umelipwa sh ngap kujibu hapa maana najua tayari tshirt na kofia unavyo
 
Naona Mabasi Ya Zakaria,malori Yanapiga Shanting,bodaboda Wote Ni Bendera Za Ccm,pale Sahara Walikuwa Wanagawa Buku 5 Na Tisheti Na Unaandikwa Jina,sasa Sijui Kutakuwa Na Kusomwa Pale Uwanjani!?Ccm Kwakweli Kwa Mwanza Hali Ngumu
 
Magufuli aachane kuingilia ngome za watu.
Atanunua 'nyomi'ila hawezi kununua kura zao.
 
Hivi kumbe ukiwa munalipwa hela na fisadi wenu ili kuandika upuuzi kama huu.

maghufuli. amefika saa ngapi mwaza wakati saa tano alikuwa dar
 
Hata wewe ukitenga Million Moja ya Viroba unapata Fuso kama kumi za Vijana wa kuzomea Jukumu lako ni kuwaambia tu wamzomee nani! Ccm imeshamaliza kazi, Mkapa, kinana na team nzima ya watu 32 wapo maeneo ya kimkakati kwa kazi moja tu 'kuinamisha' mtungi kumtoa Panya Mtungini. Jana nimemuona Mbowe ana akili kama za Lipumba kuamini eti ukimpigia kura Lowassa itahamia kwa Magufuli kwa hiyo mkimaliza kupiga kura mkunje karatasi maandishi yawe kwa nje! Dah! Kweli Jahazi likitoboka hata Nanga unaamini itakusaida kuelea Majini
 
Tangu wananchi wajue magufuli ni pangu pakavu kwa kuahidi miahadi ya uongo ambayo haitatekelezeka kwa gharama za matrilioni atazomewa sanaawamechoka kudanganywa
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Itakuwa kajinyea kama Ruwasa
 
Meseji za kuwa relayed huwa zinapoteza maana yake, hasa Tz ambapo watu wameamua kwa dhati kupumzisha akili zao na kutumia mahaba. Weka link ya reliable source, wewe ni mmoja wa watu ambao hauna la kuongea jema kuhusu Magufuli.
Ningeshangaa kama ungemsifu JPM na kumponda EL, in short, you are predictable.
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Aliyekuambia mwambie akutumie na video utuwekee hapa vinginevyo tutaichukulia ni uzushi tu
 
Back
Top Bottom