View attachment 299922 hali halisi hii hapa mwanza siyo unaongea ongea tu. alokupa taarifa mwambie pia akulipe kwa kujiabisha.
Mkuu naskia furahisha hata nusu uwanja hawafiki??
Du Fiesta la wanamziki kibao hata Mimi nimekuja kuliona kwani Kuwaona ni gharama Kubwa
Jiongeze angalia Star Tv hapo, Mwanza sio mafuriko bali ni maporomoko
Kama ulivyojiharishia siku ile!Mi naona kujinyea ni ishara nzuri zaidi
pole zako yericko,magufuli bado hajafika mwanza
We karani wa Vibaka Ltd ndo umetumwa kuleta uozo hapa? Hakikisha unapata malipo wiki hii else baada ya kusambaratishwa wiki ijayo hakutakuwa na malipo
Kwani kishatoka zenji?
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!
Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!
Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!
Kweli kazomewa mpaka akarudi ndani ya gari...maana alikuwa ametokeza kwa roof....vedio yake ipo kwa whatsap...