Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Meli 2 vivuko vya waenda kwa miguu kila mahali
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Wewe hizo "taarifa" zako unazopokea zitakupeleka pabaya. Ulikuja na hizo "taarifa" za uongo kuhusu Mkuu wa Majeshi, ukaona sifa na salama sasa unakuja na "taarifa" nyingine zisizo na kichwa wala miguu.

Chunga kijana.

Hivi Yericko Nyerere yuko wapi?
 
Ahsante faiza,
UKAWA hawaji tathmini kabisa, huyo mtu wao wampe IKULU yao. Magogoni hafiki

Wanapiga taarifa za uongo mtupu wakati Magufuli alikuwa bado yuko Dar Es Salaam
 
CCM mmelaaniwa ni Mungu tu nda atatusaidia UKAWA! Ni hakuna aliyenauahueni
 
Mara azoa kura zote mza mara azomewa mh ipo kazi!
 
Back
Top Bottom