Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

tutamini vp kuwa unavyomanisha ni kweli

Mmiliki Wa Alliance Ni Gamb.A Na Anagombea Udiwani Kata Mpya Ya Mahina,japo Kabanwa Mbavu Na Mgombea Wa Cdm,na Mie Nimeona Magari Ya Shule Yaki Wapeleka Furahisha
 
Acha kumsingizia mwalimu akiwa hi kusema kwamba lowassa Hafai?
Tunajua wakati ule umri wake na pia kukodi ndege ilikua si jambo la kawaida bt sasa ivi watu awa kodi wanamiliki zao wenyewe na ndo maana tuna mtaka huyu huyu fisadi potelea mbali!
Kwani alumni bail kikwete??

Acha kutufix, kama ishu ni kukodi Ndege Mbona jakaya hakukatwa alienda kwny kupigiwa kura wakati wote walikodi ndege moja? Kingunge anajua kuwa Lowassa aliitwa kwny ukumbi wa Kizota mbele wa wajumbe wa Nec akaulizwa swali moja tu, waeleze ndugu wajumbe utajiri wako uliupate pataje? Sio Lowassa wala wapambe wake waliweza kumsaidia juanzia Kingunge, Sitta, Makamba. Mpaka leo zaid ya miaka 20 hawez kujibu. Jk nae alirudia hilo swali tarehe 11 July sio yeye Lowassa wala wapambe wake waliweza kujibu. Jk aliulizwa kwa nn kamkata Lowassa alijibu rahisi tu, sababu za kumkata 1995 bado zipo mpaka leo na zingine zimezidi mara dufu akauliza kuna mwny jibu tumsikilize hata Lowassa mwenyewe hakujibu mpaka Sendeka ndi akaomba mkutano uendelee kwa kuwa swali halina jibu
 
Wewe hujawahi kujinyea yoka uzaliwe!? Fanya arguments kama mtu mzima!!!! Fisiem wewe
 
tutamini vp kuwa unavyomanisha ni kweli

Hawa jamaa sio wa kuamini hata kidogo, JPM kafika Mwanza saa ngapi mpaka watu wamzomee? Alikuwa Dar mida ya saa nne, niliona msafara wake maeneo ya vingunguti, jioni ndo atakuwa Mwanza. Muda aliopost jamaa toa muda wa aliyemwambia, ni angalau saa sita, Dar mpaka Mwanza sidhani kama ni chini ya masaa mawili, sasa ni saa nane, kumahesabu, JPM bado yupo angani kuelekea Mwanza.
 
Hivi unamweka mtu kama matata akuandalie mkutano unategemea nini ?
 
Mkuu, katiba inayotumika sasa ya mwaka 97 haina ushindi wa 50%. Mshindi atatangazwa kwa simple majority hata kama ni 35%

Lakini tume ya Taifa ya uchaguzi ndio inayoamua nani mshindi si ndio? Kwa hiyo sisi tutapiga kura ila mshindi wa3 anaweza kuwa wa kwanza na huna pakuhoji je wakatangaza wagombea wawili wa juu wamefungana kura napo itakuwa hamna marudio?
 
Hayo yote muongee lkn hakuna kiongozi mahiri kama MAGUFULI.Zomea nilioshuhudia ya Uyole njia panda ya tky na tunduma angezomewa Lowasa na pangetokea vurugu isiyo na mf.lkn wana ccm na mgombea wao walikuwa imara nakuonyesha ukomavu wa siasa nakutuma ujumba kuwa ushabiki sio viroba bali ni hekima na busara vinatawala heko Magufuli.
 
Huyo bado anahangaika na mikutano mbona pumzi ilishakata??
 
Hawa jamaa sio wa kuamini hata kidogo, JPM kafika Mwanza saa ngapi mpaka watu wamzomee? Alikuwa Dar mida ya saa nne, niliona msafara wake maeneo ya vingunguti, jioni ndo atakuwa Mwanza. Muda aliopost jamaa toa muda wa aliyemwambia, ni angalau saa sita, Dar mpaka Mwanza sidhani kama ni chini ya masaa mawili, sasa ni saa nane, kumahesabu, JPM bado yupo angani kuelekea Mwanza.

Hivi Kutoka dar-mwanza ni masaa mawili kweli? Hata kama ni V12 haiwezekani,? Au siku hizi mzee jpm hatumii tena njia ya barabara ili ajue matatizo ya wa Tz
 
Azomewe tu maana hakuna namna nyingine kama ukiambiwa urudishe kadi ya ccm ufikiriwe ubunge wa viti maalum alafu ukatae utazomewa tu maana tumechoka sisi
 
Magufuli katoka kumuaga Deo sasa hivi ata Mwanza bado hajafika.. Mwanza ni ya Magufuli najua hiyo ni ngumu kumesa ila ndio ukweli msubirini afike kama ukawa mmepanga vijana wa kuzomea.
 
Back
Top Bottom