Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Attachments

  • 1445078857999.jpg
    1445078857999.jpg
    23.9 KB · Views: 436
Mimi natabiri hivi: Kwa mara ya kwanza Tz itaingia katika duru ya pili ya uchaguzi. Oct25 hakuna mgombea atakayevuka au kufikia 50%.

We wa wapi? Tz tuna mfumo mbovu sana, hata ukimzidi mwenzio kura moja we ndo mshindi.
Kiuhalisia, hata ukimzidi mwenzio kura laki tano, ni dalili kuwa haukubaliki, ila Tz mwendo mdundo. Haya ni baadhi ya maeneo yanatakiwa kurekebisha.
 
Wananchi hawawataki, wanaishia kuwasomba kwa maroli na kuwavalisha matishirt yao machekeche masikini. CCM wameinvest umasikini na ujinga kwa watu. Angalia mikoa yenye elimu na watu wanaojiweza kiuchumi hawawataki. Hakika wataanguka tu maana wanafanya biashara ya laana ya kuwatesa watanzania ili wao wakae madarakani!
 
We mwehu akiyezomewa hanyii?? halafu sio kushangilia puss wewe kuwa na akili nyangau ww
 
Lowassa Chadema ni second Option alianza na Ccm alipofinyangwa ndo akakimbilia huko.Kingunge anawadanganya eti hata Mwl Nyerere angehamia huko.Astaghfirullah Mwl sio Sumaye amfate mtu aliemkataa.Yaani Julius Kambarage Nyerer awe Nyumbu wa Wezi, Mafisadi walaghai, wahongaji n.k. Mama Maria awawie Radhi!

Acha kumsingizia mwalimu akiwa hi kusema kwamba lowassa Hafai?
Tunajua wakati ule umri wake na pia kukodi ndege ilikua si jambo la kawaida bt sasa ivi watu awa kodi wanamiliki zao wenyewe na ndo maana tuna mtaka huyu huyu fisadi potelea mbali!
Kwani alumni bail kikwete??
 
Umelogwa mi niwa mwanza ila sio fisien labda ww usiejielewa hujaona akichokifanya lowassa yani kweli we mburura si juzi tyuu au umesahau
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Hata CCM ichukue nchi kwa bao la mkono lakini kutawala tena kwa kifua mbele haitakuwepo tena kama viongozi walio pita, kwani ccm haikubali ki tena kwa sera mbovu, katiba mbovu ya maslahi yao, rushwa, corruption, wizi,kutumia vyombo vya usalama kuwakandamiza wananchi, vijana wamechoka na matumaini hawana kabisa. Huu ndio ukweli hatuhitaji Twaweza.

Huku zanzibar yaani hadi raha, kuna wamasai na makabila mengine waliandikishwa mara 2 wengine moja, wengine chini ya umri wa miaka 18.
Wote wamefutwa kwa sababu ccm hofu yao wapiga kura hao kuipigia ukawa. Ukawa ni evolution.
 
endelea hivyo hivyo kuwadanganya wenzako na kueneza propaganda ya chuki dhidi ya rais wako ajaye dr. magufuli. nadhani ungetumia muda huu unaipoteza kupiga propaganda humu jf na kwenda kumbembeleza na kumshawishi mgombea wenu edward lowassa asikimbie mdahalo wa kesho na badala yake atie timu ili watanzania waone na wagundue kati ya pumba na mchele. na kesho ndiyo siku ambayo sasa dr. magufuli anaenda kuwabadili fikra na mitazamo watanzania na hatimaye wataamua kumpigia kura zitakazomfanya awe rais. hizo saa mbili tu za mdahalo wa kesho ambao pia utarushwa live na watanzania kujionea ndizo ccm na dr. magufuli wake watakapopiga bao la kisigino na la ushindi.

Alafu Mwanza Magufuli kafika saa ngapi? Mida ya asubuhi alikuwa Vingunguti na msafara wake ulitusimamisha ktk dala dala. Jioni ndo yuko Mwanza.
 
Mimi natabiri hivi: Kwa mara ya kwanza Tz itaingia katika duru ya pili ya uchaguzi. Oct25 hakuna mgombea atakayevuka au kufikia 50%.
Mkuu, katiba inayotumika sasa ya mwaka 97 haina ushindi wa 50%. Mshindi atatangazwa kwa simple majority hata kama ni 35%
 
Unatumia katiba ipi!?

Ni utabiri tu, kama gambaz yalipata habari za Filikunjombe kuanguka na chopa na bado yakakanusha halafu baadae yakathibitisha je, unadhani mr kidevu akipigwa ngwara na mamvi yatakubali bila visingizio??
 
Leo jiji la Mwanza limekua la tofauti sana baada ya Magari ya mizigo kubadilishwa kazi na kubeba abiria huku yakipambwa kijani na njano.Niko hapa Buzuruga naona malori zaidi ya 50 yakitoka maeneo ya Buswelu,Mahina, Igoma,Buzuruga ,Kisesa ,Magu nk.
Ombi langu ni waandaaji wakumbuke kuwarudisha watu makwao maana kutoka Furahisha mpaka Magu ni umbali mrefu na jioni usafiri huwa ni wa shida
Kama haya MAROLi yanavyofanya kupeleka na kurudisha watu
 

Attachments

  • 1445079395322.jpg
    1445079395322.jpg
    18.5 KB · Views: 385
We wa wapi? Tz tuna mfumo mbovu sana, hata ukimzidi mwenzio kura moja we ndo mshindi.
Kiuhalisia, hata ukimzidi mwenzio kura laki tano, ni dalili kuwa haukubaliki, ila Tz mwendo mdundo. Haya ni baadhi ya maeneo yanatakiwa kurekebisha.

Mshindi wa kura za Urais anatangazwa na tume ya Taifa ya uchaguzi kwa mujibu wa katiba na hakuna kupinga wala kushitaki mahakama yeyote upo hapo? Anaweza kutangazwa Fami Dovutwa vile vile. Tume haipo huru.
 
Back
Top Bottom