Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Leo mwanachadema ambaye atakuwa hajala pesa za ccm basi hatakula
Petrol station mbili zinagawa mafuta bure moja ya MOIL ya mansuri pale mlango mmoja na nyingine oryx Kenyata road
Na watoto wote wa shule za msingi wameamriwa waende uwanjani ili walau mafuriko yaonekane