Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Hizo picha star TV wanaunganisha !Acheni kujitekenya kisha na kucheka wenyewe.
 
Watu wa ccm nao wanatia chumvi kila jmbo,,,,hp ni fiesta tu wasanii lukuki wameletwa hp,,,watu wametoka magu hko na vjj vngn kuja kujz uwanja na magr ynyotumika kuwasomb watu ni ya mwita gachuma ya cocacola

Waache wasombe tu, kura hazisombwi, wala hazihitaji wasanii.

Watavuna aibu yao tarehe 25/10.
 
Kijana utasutwa. Kazomewa itakuwa umemzomea wewe na mama yako.Kama anvyosema Le Mutuzi ukiongea lazma uongee na fact na evidence sio kuzusha mambo kisa unajua kutype. hali halisi ni hiyo hapa mjini mwanza.
 

Attachments

  • 8c541af4-3cf8-4ad1-87cb-b836808b0406.jpg
    8c541af4-3cf8-4ad1-87cb-b836808b0406.jpg
    207.5 KB · Views: 437
  • 81cd7000-4810-46e7-84bd-4c3f4ac8d343.jpg
    81cd7000-4810-46e7-84bd-4c3f4ac8d343.jpg
    179.9 KB · Views: 415
  • 8753ae86-2753-4148-b5b2-9a3dde361937.jpg
    8753ae86-2753-4148-b5b2-9a3dde361937.jpg
    199 KB · Views: 424
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!
Mkuu tupe ushahidi wa viambatanisho vya picha
 
Were is child Wright

Hivi we mzazi unayemruhusu mototo wako aende kwenye mikutano ya siasa una. Akili???
Ikitokea kukanyagana hawa watoto watanusurika??

Samahani Mkuu Hapo Ulipoandika "were is child wright" umemaanisha nini?naomba unieleweshe..huko kwengine nimeelewa.
 
Lowasa ni chaguo sahihi la watanzania.
 

Attachments

  • 1445085102114.jpg
    1445085102114.jpg
    48.5 KB · Views: 359
Hakika ushindi ni tayari na mie nimefurahi sana leo kwasababu nshatambua Dr. Magufuri keshakuwa rais
 
Mwanza hii hapo we pimbi ndiyo ya CCM. Lowassa anaahidi alafu hatekelezi unamwagwa tu.

[video]https://www.facebook.com/ramsoictTechie/videos/10203828303546311/[/video]
 
Back
Top Bottom