Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,660
- 3,948
Kumbe umewahi kuwa nao kadhaa!hao waha fugiki nimewahi kuwa nao kadhaa .. kweli hao viumbe ni janga la taifa
Basi una nyota nao mwenetu
Kumbe umewahi kuwa nao kadhaa!hao waha fugiki nimewahi kuwa nao kadhaa .. kweli hao viumbe ni janga la taifa
Yooo kumbe ni relief mechanism! 🤔Nadhani Wanaume Wana hasira Sana na Chuki, Maana Single Maza ukimkuta kabla hajawa single Maza ni balaa kwanza huwa ni wazuri, hawashauriki, Wana nyodo, Wana jeuri.
Ndio Maana Wanaume wanawachukia Sana walishakula single Maza Wanaume wanafurahi kama kutuliza maumivu vile. Haya mambo hayaji hivi hivi
Hii dawa chungu😅mwanaume anayepata anachotaka ni mwenye pesa tu!!!! wengine
omba omba wenzangu wote wataishia kupata wanachostahili tena kwa kuhurumiwa.
Huo mstari wa mwisho umenivunja mbavu, "wataishia kupata wanachostahili tena kwa kuhurumiwa"Mara ooh! sitaki kuoa single mama!!' sitaki mwanamke anaye omba pesa ooh! naoa bikra!?!?
mi sikatai kila mtu apambanie vigezo vyake.
kinachonishangaza mbona mnatumbia sisi ndoto zenu za nataka hivi mara vile????
Ndoto haitangazwi we pambania kamilisha.
Mbona jinsia ke hai hangaiki namna hii!!!!
ikiamua inataka mubaba mwenye pesa inapita nayo.
ikiamua inataka big mkulungu inatafuta inapata ina enjoy.
ikisema no money no pussy inakuwa hivyo..........
Badala ya kupiga kelele hapa huko kwenye maisha halisi hakikisha unapata mtu unayehitaji katika muda muafaka.
Na kaa ukumbuke mwanaume anayepata anachotaka ni mwenye pesa tu!!!! wengine
omba omba wenzangu wote wataishia kupata wanachostahili tena kwa kuhurumiwa.
Huo mstari wa mwisho umenivunja mbavu, "wataishia kupata wanachostahili tena kwa kuhurumiwa"
Umetisha sana Leo Dada🤣
All of the above.Single mother ni mwanamke gani?
Vigezo ni vipi mpka apachikwe hilo jina ?
1 Aliezaa kwenye ndoa then baadae ikavunjika?
2 Aliezaa kabla ya ndoa?
3 Ambaye amezaa tu hata kama haishi na watoto?
Uchoyo tu hahahMimi nitaoa ila ni marufuku kuomba pesa
Binafsi, siwezi
Sababu ni moja tu.
Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.
Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo wa misumari.
never ..
N̈B: We set standards