Siwezi kuoa single Mother

Siwezi kuoa single Mother

Binafsi, siwezi

Sababu ni moja tu.

Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.

Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo wa misumari.

never ..
That isn’t important. Ungesema huwezi kusababisha mtu kuwa single mother ningekuona una hoja!
 
Ooh sawa nipe tofauti ya kitabia kati ya single mother na mwanamke ambaye bado hajapata mtoto
Mwanamke ambae ana mtoto wa mwanaume mwingine automaticaly sio mali ya mwanamume mmoja tena ..maana hapo atakuwa na mahusioano yake but ata the same time atakuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine .. kwa kigezo cha mzazi mwenza .. sasa kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo ni kujichimbia kaburi wew mwenyewe.

Lakini mwanamke asiye na mtoto.. hata kama atakuwa na makando kando lakini atlest unakuwa na amani kuwa hakuna mtu anaeweza ku access mahusiano yenu kirahisi..
 
That isn’t important. Ungesema huwezi kusababisha mtu kuwa single mother ningekuona una hoja!
Wanaume baadhi ni wa binafsi hakuna single mother bila mwanaume

Hili wanalisahau kwa kutojua
Au hawana akili ya kuwaza hili
Badala washauriane namna ya kutozalisha hovyo wanalalamikia matokeo ya matendo yao

Najiuliza hawa watu wapo timamu kweli?
 
Nimesema hivyo ., kwa sababu sijawahi kufikiria kutengeneza single mother hata siku moja .

Kwanza damu yangu lazima niilee mwenyewe kwenye ndoa takatifu ..
 
Wanaume baadhi ni wa binafsi hakuna single mother bila mwanaume

Hili wanalisahau kwa kutojua
Au hawana akili ya kuwaza hili
Badala washauriane namna ya kutozalisha hovyo wanalalamikia matokeo ya matendo yao

Najiuliza hawa watu wapo timamu kweli?
Nadhani Wanaume Wana hasira Sana na Chuki, Maana Single Maza ukimkuta kabla hajawa single Maza ni balaa kwanza huwa ni wazuri, hawashauriki, Wana nyodo, Wana jeuri.

Ndio Maana Wanaume wanawachukia Sana walishakula single Maza Wanaume wanafurahi kama kutuliza maumivu vile. Haya mambo hayaji hivi hivi
 
Mwanamke ambae ana mtoto wa mwanaume mwingine automaticaly sio mali ya mwanamume mmoja tena ..maana hapo atakuwa na mahusioano yake but ata the same time atakuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine .. kwa kigezo cha mzazi mwenza .. sasa kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo ni kujichimbia kaburi wew mwenyewe.
Watawasiliana ndiyo kwa ajili ya watoto si ndiyo maana yako sio?
Kwahiyo wewe unadhani wakiwasiliana ndiyo wataanza kukumbushia ya kale?
Lakini mwanamke asiye na mtoto.. hata kama atakuwa na makando kando lakini atlest unakuwa na amani kuwa hakuna mtu anaeweza ku access mahusiano yenu kirahisi..
Hata kama atakua na makando kando ni afadhali 🤣🤣🤣

Et Hakuna anaeweza kua access mahusiano bro huoni unachekesha

Unataka uniambie wewe kigezo cha kuaoa ni mwanamke asiwe na mtoto tu basi?
Unajua binti anaweza kua mama wa marehemu binti katoa mimba 6 bila uoga ndiyo bora zaidi kitabia kuliko aliezaa ?
 
Nadhani Wanaume Wana hasira Sana na Chuki, Maana Single Maza ukimkuta kabla hajawa single Maza ni balaa kwanza huwa ni wazuri, hawashauriki, Wana nyodo, Wana jeuri.

Ndio Maana Wanaume wanawachukia Sana walishakula single Maza Wanaume wanafurahi kama kutuliza maumivu vile. Haya mambo hayaji hivi hivi
Kama hii ni miongoni mwa sababu moja wapo basi wanaume hawa ni wapumbavu kwa kiwango cha juu zaidi
 
Watawasiliana ndiyo kwa ajili ya watoto si ndiyo maana yako sio?
Kwahiyo wewe unadhani wakiwasiliana ndiyo wataanza kukumbushia ya kale?
Hata kama atakua na makando kando ni afadhali 🤣🤣🤣

Et Hakuna anaeweza kua access mahusiano bro huoni unachekesha

Unataka uniambie wewe kigezo cha kuaoa ni mwanamke asiwe na mtoto tu basi?
Unajua binti anaweza kua mama wa marehemu binti katoa mimba 6 bila uoga ndiyo bora zaidi kitabia kuliko aliezaa ?
Mimi kam mwanaume ni bora aje na makando kando mengine kuliko kuja na hilo la mtoto ..

Najua ni ngumu wew kuelewa hicho kipengele cha mtu kuwa na intruder kwenye familia yako..

Mbaya sana
 
Hata Single Maza mwenyewe hakubali Mtoto wake wa kiume aoe single Maza🤣🤣
 
Back
Top Bottom