Siwezi kuoa single Mother

Siwezi kuoa single Mother

Ndio sababu kwa hiyo waache single Maza wabunge walichopanda, ukipanda mazuri utavuna mazuriaz ukipanga mambo ya hovyo usilalamilw ukipopolewa we vuna tu
Imebidi nirudi kuangalia profile join walau nikukadirie miaka ila ni ngumu kujua hilo

Nikuulize single mother wanatokana na nini?
Ili mwanamke aitwe single mother inakuje kuaje yani?
 
Mimi kam mwanaume ni bora aje na makando kando mengine kuliko kuja na hilo la mtoto ..

Najua ni ngumu wew kuelewa hicho kipengele cha mtu kuwa na intruder kwenye familia yako..

Mbaya sana
Asieee 🤣🤣
Hii inashangaza sana
Anyway kila la kheri mkuu

Nyongeza tu japo sio kwa muhimu sana
Ndoa inataka vigezo vingi sana ukiachilia mbali hilo la mwanamke kutozaa 🙏🙏
 
Hata Single Maza mwenyewe hakubali Mtoto wake wa kiume aoe single Maza🤣🤣
Hawawezi kabisa
Na hao single maza ukiwaoa wanakudharau mazima .. kwa sababu wanaona wewe hauna standard kabisa.

Ndio maana huwa wanawafanyia viza wale wanao waonea huruma na kuwaoa.

Laiti kama wanaume wote tungejitambua tusinge ingia kwenye mtego wa hawa viumbe
 
Imebidi nirudi kuangalia profile join walau nikukadirie miaka ila ni ngumu kujua hilo

Nikuulize single mother wanatokana na nini?
Ili mwanamke aitwe single mother inakuje kuaje yani?
Nadhani bado hujanielewa, Single Maza anatokana na machaguo yake na maamuzi yake, na kwa kuwa tunaawma kila mtu aishi anavyotaka ni maamuzi yake basi hata matokeo ya maamuzi yake nayo yawe juu yake hakuna Huruma hapa
 
Asieee 🤣🤣
Hii inashangaza sana
Anyway kila la kheri mkuu

Nyongeza tu japo sio kwa muhimu sana
Ndoa inataka vigezo vingi sana ukiachilia mbali hilo la mwanamke kutozaa 🙏🙏
Ahsante sana kwa kunielewa

Mimi kigezo chang ni kimoja tu. Asije na kiumbe nyumbani kwangu.

Hiyo ni sheria ya asili(nature)
 
Swali lako la mwanzo limeshajibiwa. Am not ready for interrogation.

NOTE: Blacklisting single mothers is not insecurity, villainous or misogynistic. Is simply a man is not stupid.

The issue of men blaming women for single motherhood while failing to hold their fellow men accountable for abandoning women and leaving them to raise children alone

This is something selfish and hateful men do, because they fail to look at the issue from a balanced perspective Period !
 
Nadhani bado hujanielewa, Single Maza anatokana na machaguo yake na maamuzi yake, na kwa kuwa tunaawma kila mtu aishi anavyotaka ni maamuzi yake basi hata matokeo ya maamuzi yake nayo yawe juu yake hakuna Huruma hapa
Ni kweli Mkuu

Hii dunia haiitaji huruma kabisa .. kila mtu abebe mzigo wake
 
Wewe ndiyo kabisa huelewi
Single mother anatokana na wapumbavu wawili mtu mke na mtu mume

Japo wengine hua mmoja ndiyo chanzo
 
Hii dunia haiitaji huruma kabisa .. kila mtu abebe mzigo wake
Fikiria umeoa mke wako ana miaka 25 ukamzalisha mtoto halafu baada ya miaka 4 wewe ukafa. Hata kama uchumi hautokuwa shida unafikiri ni sawa huyo mke uliyemwacha kuishi bila kuchakatwa tena for the rest of her days!
 
Hii ya kwako sio standard, ni personal preference tu

Fikiria umeoa mke wako ana miaka 25 ukamzalisha mtoto halafu baada ya miaka 4 wewe ukafa. Hata kama uchumi hautokuwa shida unafikiri ni sawa huyo mke uliyemwacha kuishi bila kuchakatwa tena for the rest of her days!
Huyo ni mjane . Sio single mother kaka
 
Single mothers watakuja na povu jingi, ila mm n shahidi wa hayo, single mother kwa kijana ni sumu.

Watakuja kusema hao ambao hawajazaa wametoa mimba sana ila hii yote ni kujifariji tuu.

Kijana unayejitafuta, jiepushe na single mother, usiposikia hilo bc utashughudia mwnyw kwa maumivu makuu
 
Sasa rafiki umeombwa uoe? na kama ni ivo sawa, kwanini usimwambie huyohuyo single mother alokwambia umuoe? na una uhakika gani kama wewe ndio mwanaume peke yako duniani? kila siku single mother wanaolewa na mambo yao yanakwenda uzuri tu aya hao unawaoa wewe? Ebu acha ubaguzi kesho yako huijui
Naweka mawazo yangu bayana .. maana hili ni jukwaa huru mkuu.
 
The issue of men blaming women for single motherhood while failing to hold their fellow men accountable for abandoning women and leaving them to raise children alone

This is something selfish and hateful men do, because they fail to look at the issue from a balanced perspective Period !
The author didn't blame women. He just shared his standard term. Man's requirements is not misogynistic.

Single motherhood is woman's choice. Due to the fact that she is a gatekeeper of sex and fertility. No man came with a gun to force her to open her legs. She did it intentionally, understood and willingly.

She was in place of making a better decision but she chose chaos, then she has to face consequences of her decision without blaming no one. That's called accountability.
 
Back
Top Bottom