Ha ha ha ha ha mkuu umeua game .mil 2 mbili mchezoo c kila jambo tunadanganyanaa vingine tuwe wakwelii asante kwa ukweli
masikini akipata ------ hulia mbwataMpaka hapo bado sijajua nani mjinga, aliyetoa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. siku ya kwanza tu ya kukutana na Binti au aliyezitupa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. Kweli kwenye miti mingi hakuna wajenzi.
eti anasema kila mtu aonyeshe cm aliyokuwa nayo!!!
si atahama kabisa JF huyu kuna raia wanamcheki tu anavyokunya kunya!!!!
HUJAITWA UNAITIKA!!! UKIITWA UTASEMAJEE?? HAHAHA ETI BEEEE KAMA BEBERU OVYOOOOOO
umenichekesha na signature yako tu......
Ww nenda kakutane nae must uzkute zawad zako ana2mia
Hiii simu yangu ni zaidi ya mil2 naomba jamiiforums wawe wanaonyesha aina za simu mfano iPhone 6 64GB
wasalimie KAMACHUMU....
Kwaio hiyo iphone 4s ni millioni 1.5 Tanzanian shillings?
huyu rweyemamu michosho tu hapa...hahaaaaa bila kusahau misenyi kwa wale makamanda walana uroda vichakani!
nina wasi wasi hata wewe ni muongo unafanya kazi gani uwe fa.ra kiasi hiki hizo mil 2 ushawahi kuziona au unaona raha kubonyeza button tu!!!
Unaamini kweli alitupa? Thubutu!