thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
Muongo huyo hana jeuri ya kutupa anakuchemsha tu
Naanza kwa kujuta sana, kuna kipindi nilienda bank ya posta tawi moja hivi mkoa flani, nikakutana na binti mmoja mzuri sana wa type yangu, alikuwa anafanya field pale, nikachanganyikiwa nikajipenyezapenyeza mpaka upande wake nikampa iPhone yangu na yeye bila hiana akanipa namba yake. Nikawasipati usingizi kila wakati naenda bank. Kuna siku akaniambia tukutane nilifurahi sana nikanunua iPhone 4s na cheni ya laki5 nikampelekea nikamkuta na rafiki yake. Hatukupata nafasi ya kuongea sana akaondoka, kesho yake nikamuuliza kama alipenda ile zawadi akanijibu ndio aliipenda . Toka siku hiyo hakutaka kuonana na Mimi tena, nilikasirika sana nikaishia kumtukana. tumekaa muda wa mwaka mmoja hatujaongea! Jana nimempigia simu tukaongea sana, kikubwa cha kunishangaza Eti zile zawadi alitupa muda uleule cause hazilingani na thamani yake yeye. Yeye hapendi mwanaume anajifanya anapesa anataka mtu wa kawaida and simple. Nikajiangalia mimi pia napenda kuwa simple sasa nashindwa kujua kihelehele nilikitoa wapi cha kununua zawadi za mil2!! Najuta kumkosa huyu binti.
Ukweli utabaki pale pale kila siku kuwa mapenzi bila pesa hiyo ni kudanganya tu!!!
Waulize hao hao wanaojifanya wanapenda simple men, kwanini hawaolewi nao at the end of the day?
Hawa wanawake wa hivi wanajifanya innocent wakati wa friendship halafu true colours zinakuja kuonekana ndoani!
nina wasi wasi hata wewe ni muongo unafanya kazi gani uwe fa.ra kiasi hiki hizo mil 2 ushawahi kuziona au unaona raha kubonyeza button tu!!!
nina wasi wasi hata wewe ni muongo unafanya kazi gani uwe fa.ra kiasi hiki hizo mil 2 ushawahi kuziona au unaona raha kubonyeza button tu!!!
mkuu unajipigia promo kwa miss chagga ?
Inawezekana ni kweli but angerudisha ningeona anakili but kutupa nilipata ganzi kwa muda
wasalimie KAMACHUMU....
Wewe mwanafunzi wa field umetoa wapi kwanza amount yote hiyo ya pesa kununua gift kwa mtu usiyemfahamu??
Mkuu mbona unatuchezea drama ???
ushamaliza hiyo field?
This is true story binti anasoma TIA Kama vipi nikupe namba zake
Naanza kwa kujuta sana,
kuna kipindi nilienda bank ya posta tawi moja hivi mkoa flani,
nikakutana na binti mmoja mzuri sana wa type yangu, alikuwa anafanya
field pale, nikachanganyikiwa nikajipenyezapenyeza mpaka upande wake
nikampa iPhone yangu na yeye bila hiana akanipa namba yake.
Nikawasipati usingizi kila wakati naenda bank. Kuna siku akaniambia
tukutane nilifurahi sana nikanunua iPhone 4s na cheni ya laki5
nikampelekea nikamkuta na rafiki yake. Hatukupata nafasi ya kuongea sana
akaondoka, kesho yake nikamuuliza kama alipenda ile zawadi akanijibu
ndio aliipenda . Toka siku hiyo hakutaka kuonana na Mimi tena,
nilikasirika sana nikaishia kumtukana. tumekaa muda wa mwaka mmoja
hatujaongea! Jana nimempigia simu tukaongea sana, kikubwa cha
kunishangaza Eti zile zawadi alitupa muda uleule cause hazilingani na
thamani yake yeye. Yeye hapendi mwanaume anajifanya anapesa anataka mtu
wa kawaida and simple. Nikajiangalia mimi pia napenda kuwa simple sasa
nashindwa kujua kihelehele nilikitoa wapi cha kununua zawadi za mil2!!
Najuta kumkosa huyu binti.
thebigbobo usidanganyike alikuwa tiyar na mtu icho kikawa kisingizio. kama angekupenda angeokea akashukuru then ndo akakakwambia ivo nan asiyependa zawad? mm kweli napenda sana kwasababu na mm natoa.