Kibaya zaidi wewe sio wife material bali malaya material.Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Huyu ni malaya material na sio wife materialHuyu anaongelea mwanaume au mume? Wanaume hawana majukumu isipokuwa wao wenyewe tu. Waume wao wana majukumu ya kifamilia angalia tofauti zao kabla ya kuwakilisha malalamiko.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji4] nielekeze bs sura zao nizijue. Ili next time nisijikanganye
Ukimuona mwanaume wa hvyo jua ata mwanamke alienae ana matatizo hana nguvu ya ushawishi wala future yeyote. Na wapo wa aina hyo sio kwamba hawajishughurishi ila mambo yao tu hayajakaa sawa bado[emoji2][emoji2] ss si unatoa huduma kulingn na Hali yako?. Ww km una sehemu ya kujishikza bs ni vzr. Mimi nasemea ambao hawawez ata kujilisha ugali wao wa siku 1. Kila ki2 baba afu ank mwanamke.
Ok, ni vile mkipata wapenzi mnajua mmepata ATM machine kwa nyumbaItabidi tunadilike Sana kwa kweli. Mwanaume ukiwa huna pa kushika, jitahd tu utafute pesa mapenzi yatakukuta uko uko.
Punguza makasiriko basi πππ hizi kauli hutoka kwa mwanamke ikiwa hujapenda ila ukipenda wala haitakua kikwazo na huwa mnaelewa situation kama zilivyo!Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Wa kibabe! Yani mtu ana tokewa na jobless halafu analeta lawama kuwa hatunzwiπMfokeo wa 14october
ππππππ spanaWee upewe laki 3 kama nani? Maana hata kwa ndugu hujulikani.
ππππ ππ π πKwaiyo unataka kutumia mbususu yako kama mtaji??
Anyway bora alivokunyima.
Alafu usitupigie kelele tafuta hela zako kama rahisi[emoji28]
Haya maswala ya kuchanganya mapenzi na hela kapu moja hayajawahi kuwa na matokeo chanya kabisa hasa kwa watu wenye akili πKwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?
Vipi kwa upande wa mwanamke?akiwa hana kitu gani wanaume wanatakiwa wamuepuke?
Wanawake wanashupalia haki sawa kila kona isipokuwa kwenye swala la hela tu ndio hujifanya mwanamke anahitaji atunzweπ mambo ya kishwainiSi mlisemaga haki sawa..sasa mnataka laki 3 za nini?
πππππππ wanafosi kabisa watunzwe yani π mi nikutunze wakati hata mahari sijalipa una akili kweli?Aina ya wanawake wapumbavu na wavivu wanapanua mdomo wakingojea mwanaume amlishe! [emoji1][emoji1][emoji1] utasubiri sana mama
wenzio walamba iyo mipalange nawanafukunyua hadi hina zinatoka nawanatoa pesa wakiona jina alaf ww unasemea izo smel samak hahahhaha tembea uone"Papuchi zinasmell samaki nani atoe hela"
" Tutaendelea kuwagonga na kusepa"
Walisikika wakulungwa wakiongea baada ya kusoma hii thread
ni mapenzi aisee yaani mnapokosea mnavyo ilinganisha na pesa hiyo thamani yake hiyo inatakiwa ifidiwe na upendo kutoka kwa mwanaumeWacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Skuiz hawangalii sura imeishaiyoUkitaka mwanaume akupe pesa hakikisha kwanza we demu mzuri unakuta demu sura ya baba anataka ma handsome hapo ndipo kasheshe linapoanza..
Nimechunguza sana mademu wengi wanaolea wanaume wana sura za baba shepu mbovu wengi wao ndio wanakua wamejitongozesha
SAMAHANI
Hahahahahahah malalamiko yametupiliwa mbali kesi ya msingi haina mashiko πππ tukutane mahakama ya rufaaMalalamiko yako tumeyatupilia mbali .kata rufaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Acheni upuuzi nyie, ngenya sio equivalent na pesa! Mkiitwa malaya mnakuja juu oh nyie si ni kama mama zenu blaah blaah!!!Wacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?