Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,283
You got it twisted! Wapi nimetaka kuonyesha unajichanganya? Labda pengine kujaribu kuuelezea unafiki inaweza ikaonekana ama kutafsirika kama ni kuulezea tukio la "kujichanganya", saa nyinigine inawezekana unafiki ukawa mistaken for that. Kwasababau mara nyingi unafiki unakuwa ni jambo ambalo mtu haeleweki straight.Katika hizi replies zako mbili.... Umejabu sana kujenga defense na kuonesha kwamba am totally wrong na najichanganya.... What else can I do?nipingane na mtazamo wako!? For what... Mimi nitabaki kupigania usahihi na uhalisia wa post yangu na sio misimamo kama yako...
Umeona ni unafiki its alright.. Ndio maana ya mijadala sio mahubiri kwenye sinagogi, ama kelele za wanasiasa au barua za mapenzi... Ni mjadala wenye maoni tofauti
Kwahiyo umeona ulipokosea ama bado? Anyway ni mjadala huru... I just wanted to keep things straight...!You got it twisted! Wapi nimetaka kuonyesha unajichanganya? Labda pengine kujaribu kuuelezea unafiki inaweza ikaonekana ama kutafsirika kama ni kuulezea tukio la "kujichanganya", saa nyinigine inawezekana unafiki ukawa mistaken for that. Kwasababau mara nyingi unafiki unakuwa ni jambo ambalo mtu haeleweki straight.
Ukatili ni ukatili period!
Mimi nadhani kusema kuwa hauungi mkono ukatili, lakini unaunga mkono ukatili only in certain conditions ni unafiki. Its either hauungi mkono ukatili, ama unaunga mkono ukatili. "Because you are for it before you are against it"Kwahiyo umeona ulipokosea ama bado? Anyway ni mjadala huru... I just wanted to keep things straight...!
Umeandika sijui Kwa Uchungu au kwa Hasira ila uko sahihi....kama mkristu sali sala ya Baba yetu uliyembinguni...Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....
Hebu turudi darasani kidogo na kuona tofauti ya hizi sentence mbili...Mimi nadhani kusema kuwa hauungi mkono ukatili, lakini unaunga mkono ukatili only in certain conditions ni unafiki. Its either hauungi mkono ukatili, ama unaunga mkono ukatili. "Because you are for it before you are against it"
Kama ni kushghulikia ushoga, kuna njia nyngi tu ambazo siyp lazima ziwe za kikatili ambazo wewe unaunga mkono.
Sometimes we have to learn a hard way.... Hata Mwenyezi Mungu alipoona Sodoma na Gomora imetopea kwenye uhayawani ule aliiteketeza ile miji bila hurumaUmeandika sijui Kwa Uchungu au kwa Hasira ila uko sahihi....kama mkristu sali sala ya Baba yetu uliyembinguni...
Mapambano na mwovu shetani ni magumu mno.
Umenikumbusha dhana ya Upanga kwa Upanga, eti amber rutty amepata alichostahili kwa kukalia tako moja pale Mahakamani.
Amefanya Dhambi nawe unafanya Dhambi kwa kumsokomeza vitu unavyojua makalioni, alafu unalalama kwamba to hell human rights.
Utulivu, Busara na bila Mihemko ingetosha kutumika kuhandle suala la Amber rutty bila kuathiri haki zake za msingi za Binadamu....
Uzuri umesema Amber Rutty ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha na heshima
Kwahiyo jamii haitamaniki na kina amber rutty sio kosa lao bali jamii imesababisha hivyo kwa malezi ya ovyo na yaliyopooza...
Nashauri jamii pia tuisokomeze vitu vitakavyosababisha ikalie tako moja kwa maumivu ili kuokoa, yasipatikane. Mazao ovu kama ya kina amber rutty na Wema Sepetu.
Siungi mkono ukiukaji wa haki za binadamu kwa ajili ya kukomoa badala ya kurekebisha.
Ingekuwa hivyo wengi wangekata viganja vyao sababu ya kunyewa na watoto,
tukemee maovu pale yanapoonekana, tusisubiri yakomae ndipo tutapetape kwa kulaumu na kunyanyasa waathirika.....
Amber rutty zao la uovu....tujiangalie na kujitathmini sioni tofauti ya kina Amber rutty, Ngangari poa, Diamond, Wema Sepetu, Babu Seya and the Co, Wasiojulikana wote ni zao la UOVU ndani ya jamii yetu Iliyo OVU na yote uliyosema..
Amber rutty ni Binadamu ana damu kuna FUNZO kubwa kupitia kwake..
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....
Kweli mkuu.Tayari mara hii watu wameshasahau ya huyu binti wako na dudubaya... Na tayari amekuwa shujaa mkubwa... Ukiwa na mtazamo tofauti tu na kundi lake tayari na wewe unapewa tuhuma
The problem is "Yes But", it makes a huge difference. Go back to class bro, i already know what i'm talking about, you can't have it both ways!Hebu turudi darasani kidogo na kuona tofauti ya hizi sentence mbili...
1. Siungi mkono ukatili.
2. Siungi mkono ukatili lakini....
Je unaweza kujua tofauti hapo ni ninini?
Ni kama kwenye ile mada ya dudubaya niliandika hivi..
Je dudubaya ni ngangaripoa? Wachangiaji wengi wakachukulia kuwa nimesema dudubaya ni ngangaripoa. Hivyo nimemhukumu.. Matumizi ya hizi alama ni muhimu sana ili kupata maana tarajiwa
Kwanini ile mada haikueleweka kwa wengi kiasi kile? Mada ilihusu tabia za kutia shaka za dudu... Lakini mada ikapinduliwa na kuonekana natetea mashogaHujawahi niangusha zaidi ya juzi uliyotaka kuyonga yonga kuunga mkono miti milegevu
Sasa hapa tofautisha kati ya Kiswahili na kiingereza.... Utapotoka... Nijibu kwa muktadha wa Kiswahili kama nilivyoandika mimiThe problem is "Yes But", it makes a huge difference. Go back to class bro, i already know what i'm talking about, you can't have it both ways!
"Yes"(siungi mkono ukatili), is NEVER the same as "Yes But"(siungi mkono ukatili, lakini...)
Go and learn about "Yes and" vs "Yes But"
Kwanini ile mada haikueleweka kwa wengi kiasi kile? Mada ilihusu tabia za kutia shaka za dudu... Lakini mada ikapinduliwa na kuonekana natetea mashoga