Siungi mkono ukatili lakini...

Siungi mkono ukatili lakini...

Mbna mlaji mzigo sijamuona mahakamani? Na kwann mlaji asemwi? Au mlaji hana hatia? Mshana jr nasubiri majibu hapa, make naona wadanganyika mmemshikilia tu aliyeliwa.
 
Kwa mwanadamu aliyeumbwa kwa sura ya Mungu hawezi kufurahia mwanadamu mwenzake kuteswa na kuumizwa bila kujali kafanya kosa gani kwa sababu kwa Mungu makosa/dhambi zote zinasameheka isipokuwa moja. Ushoga kitu gani hata tumwone binadamu hana thamani??...
Kwa Mungu ni baada ya kufa... Halafu toba na msamaha ni kwa kwa waumini na waamini kwenye imani za kidini... Tunahitaji jamii inayojitambua kabla ya kumtaja Mungu
Alichofanyiwa huyo binti (kama ni kweli kafanyiwa)ni funzo tosha kwa wengine wenye tabia kama zake.. Unadhani akitoka hapo atajibinua tena... Thubutuuu
 
Anavuna alichopanda...ume analyse vizuri ofcoz yule Dada ni sample tu ya wadada wengi tulionao huku mitaani..hata hivyo unafanyika ufirauni wa kutisha kila siku..ila huu kwa vile hatujaushuhudia tunakaa kimya..
 
Huenda ikawa kweli huko mahabusu amekutana na shughuli pevu, au kama anavyodai maumivu yametokana na kipimo... lakini mmmh kipimo gani huwa kinatumika mpaka kimemsababishia maumivu mpaka ashindwe kukaa???
[emoji23][emoji23]kipimo cha mkongo....
 
Mbna mlaji mzigo sijamuona mahakamani? Na kwann mlaji asemwi? Au mlaji hana hatia? Mshana jr nasubiri majibu hapa, make naona wadanganyika mmemshikilia tu aliyeliwa.
Anayekamatwa na kidhibiti ndio mwizi
 
Hili ni zao la kuangalia michezo/picha/soap za kiphilipino, america ya kusini na ughaibuni kwa ujumla TV station zeti ikiwemo na hiyo ya nchi ziko busy kurusha vipindi hivyo na ukitukuta sebuleni tunakenua minjino na mimacho huku watoto wetu wakiwa pembeni hasa kina mama. Picha zao huwa hazinogi wala kukamilika bila kuwa na character anayepromote ushoga! And the like.

Hatukujua kama tunapanda mbegu sasa ni dhahiri, refer kile kisa cha watoto wa shule na mwenge uko kilimanjaro.

Naunga mkono hoja huyu dada na wenzake wote ashughulikiwe ipasavyo. Japo sijapendezwa na hii style ya kuwang'amua
 
Wewe umejuaje kua kukaa kwake kwa kalio moja na kushindwa kukaa vizuri alikua anajifanyisha ili kupata sympathy za watu? unaweza kuthibitisha hilo? unaweza kuthibitisha kua hakuna jambo lililompata huko alipokua?

Sio lazima kila jambo basi uwe unakimbilie tu kulianzishia thd hata kama huna uhakika nalo,hii kesi iko mahalkamani na mtuhumiwa atahukumiwa kwa mujibu wa sheria acha kimbele mbele.
 
Owky kwahiyo mmiliki wa hile movie ni uyu aliyezibuliwa, mzibuaji aendelee kuzibua mitaro tu uko uswazi, hatuna shida nae[emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....
Unaisemea hii mkuu?View attachment VID-20181103-WA0231.mp4
 
Back
Top Bottom