Kuna aina hizi za wafanyakazi:
1. Wale wanaona wananyanyaswa wanakuwa waoga na kuendlea kuvumilia huku wakinung'unika
2 Wale wanaona wananyanyaswa wanaamua kuondoka na kutafuta kazi kungine
3.Wale wanaona wananyaswa wanachukua hatua kuboresha hali zao kazini
4.Kuna wale wanaoridhika na mambo yalivyo
Kwa muktadha wa Madaktari wanaogoma kutafuta hali bora zaidi ni bora kuliko wanokimbiliwa nje ya nchi . Wanaogoma ni wazalendo zaidi . Medical school is the most difficult academic journey than any , huko hospitali hakuna rushwa za kuwaongezea kipato kama ilivyo kwa mafisadi wengine serikalini
Nchi zote Jirani zinalipa madaktari wao vizuri isipokuwa Burundi na kongo
Tuaache upuuzi daktari anahitaji kukidhi bajeti yake ebu fikiria
1 Ada ya shule kwa watoto wawili si chini ya 3,600,000 yaani aweke sh 300,000/=
Kila mwezi kwa ada tu vinginevyo watoto aende kayumba.
2. Kodi ya nyumba ni sh 300,000/= kule sinza na sehemu nyingine karibu na hospitali zao na panapolingana na hadhi yao
3.Petrol ktk gari lake ni kama sh 300,000/=
4.Offisini atakula sh 7000X30 =210,000/=
5.Bajeti ya home kwa familia ya watu 5(watoto 2 , house girl na baba+Mama ni sh 720,000/=
6.Bajeti ya wazazi= 200,000/=
7.Bajeti ya maendeleo =500,000/=
Total= wapeni 2,500,000
Vingine watachukua rushwa kwa wagonjwa ili kukizi hiyo bajeti
Tuache mzaha
Madaktari wanastahili wanachokidai