measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
Daktari mmoja katika ukurasa wa faebook leo ameandika hivi:
GOOD NEWS: Pamoja na mgomo,wauguzi wa Mbeya Referral Hospital wameniwekea tools up na kumsaidia mchumba wangu,kajifungua mtoto wa kiume,kilo 3.1, na APGAR Score 9-10. Mungu awabariki wote walioshiriki katika huduma hii na maombi haya.
Do we learn anything from this?
Tuliweka bayana kwamba emergencies, meaning huduma za dharura kama Casuality emergency department, Labour ward, huduma zinaendelea kutolewa. So mchumba kupata huduma hilo linatarajiwa, hata wewe mkuu leo ukienda emergency department unapata huduma.