chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,712
- 46,008
Wengine mnamchukia Sitti utafikiri yeye ndio sababu ya wewe kukosa samsung galaxy au hela you have to get rid with your own life and feel painful for your own backwardness and not otherwise.
Taarifa ya aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, kwa vyombo vya habari leo imeeleza kuwa, Sitti atazindua kitabu kinachoelezea faida na hasara ya mitandao ya kijamii.
Amesema pamoja na kwamba mitandao ya kijamii ikitumiwa vizuri, huleta mapinduzi ya kimaendeleo ya kihabari kwa haraka.
Amesema maudhui yaliyopo katika kitabu hicho ni yanamlenga yeye moja kwa moja kama mhusika na kwamba pamoja na maumivu na athari azipatazo mhusika kitaelezea ni kwa jinsi gani ataweza kujifunza na kunyanyuka upya.
Mei 2, 2015 mwaka huu pia uzinduzi wa kitabu hicho utaenda sambamba na uzinduzi wa 'Taasisi ya Sitti Tanzania' yenye lengo la kusaidia watu wenye shida na kuweza kuendeleza gurudumu la maendeleo Tanzania.
Itakumbukwa sakata la Sitti kudaiwa kuwa ameghushi cheti cha kuzaliwa liliibuka kwenye kwa kasi mwaka jana kwenye mitandao ya kijamii, hali iliyozifanya mamlaka husika kuanza kufuatilia uhalali wa cheti chake cha kuzaliwa....hadi pale alipojivua taji alilokuwa amevishwa baada ya kushinikizwa na watu mbalimbali kuwa aachie taji hilo kwa kile kilichoitwa ni kukosa uaminifu na kukosa sifa ya kushikilia nafasi hiyo.
=========
Sitti Mtemvu kuzindua Taasisi, Kitabu na Kipindi chake cha TV May 2
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2014 na baadaye kulivua taji lake, Sitti Mtemvu, anatarajia kuzindua taasisi yake ya Sitti Tanzania, kitabu chake na kipindi cha TV kiitwacho Chozi la Sitti.
Uzinduzi huo utafanyika May 2 kwenye ukumbi wa Mlimani City na utapambwa na burudani kutoka kwa Yamoto Band.![]()
Chanzo: Bongo5
Machafu yetu tunayajua wenyewe hatuyafichi kwa kudanganya watuAna mapungufu yake Kama binadamu kwani hakuna mtimilifu,kwa alichofanya Si kitu kibaya,tumejificha nyuma ya keyboad zetu na tuna machafu mengi tukiyafanya Siri zetu...hebu tukue kidogo wakuu!...
Bila shaka huyu atakua mzee mte.mvu Abasi
Bila shaka huyu atakua mzee mte.mvu Abasi
Huyo ni wale wasiojitambua, mbwa wapigao kelele bila sababu, wakumpuuza tu, kama siti mwenyewe alivua taji kwa kukubali alidanganya umri, huyu anaepiga kelele hata siti mwenyewe anamshangaa.
Kkojoe ukalale wewe, kwani laxzima wote tusome? soma wewe inatosha...Hizi ni akili za mwanaume msomi! badala utoe support kwa dada yako we unakuja na viroba vyako hapa!
- mimi ndiye niliyeongoza mashambulizi ya kumfanya arudishe taji
Le Mutuz
Mtoto wake awepo kwenye uzinduzi huo,la sivyo bado ameandika uongo.
- Poor rich kid mtoto wa Tajiri spoiled, mimi ndiye niliyeongoza mashambulizi ya kumfanya arudishe taji ninataka kuamini kwamba kwenye kitabu chake atasema ukweli cause kama hamna ukweli nitakijibu hatua kwa hatua jinsi alivyopata Taji na kilichomfanya alivue na mimi pia nimepigana sana na wengine kuyarudisha mashindano hayo naomba anayemjua amfikishie ujumbe huu!!