shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Bila shaka kitabu kitauzika kwa kasi ya ajabu, kwani kila mtu anataka kujua kaandika nini, ila ajiandae kwa madongo mazito zaidi.
Wala hakuna mvuto kabisa ndani yake........sidhani kama nitaweza kufungua hata ukurasa mmoja wa hicho kitabu........
Aliyekuwa miss Tanzania na kuvuliwa taji sitti mtemvu ametoa kitabu kinachoitwa "chozi la sitti" kinachohusu matumizi mabaya ya mitandao
Source Chanel ten
Mpwa ushakisoma?
Lazima hicho kiingilio watu wapewe vitabu bure.
Anahitaji pesa za matimizi pia...plan yake mitandao ilimuharibia...mmmjh nasinzia