Sitti Mtemvu kuzindua Kitabu cha 'Chozi la Sitti'

Sitti Mtemvu kuzindua Kitabu cha 'Chozi la Sitti'

Ana mapungufu yake Kama binadamu kwani hakuna mtimilifu,kwa alichofanya Si kitu kibaya,tumejificha nyuma ya keyboad zetu na tuna machafu mengi tukiyafanya Siri zetu...hebu tukue kidogo wakuu!...

Hivi nawe umejiona umeandika kutofautisha nyuma ya keyboard na siti kutaka kuoata hasichostahili kinachousisha watanzania...mmmh

Asioomtaja Le Mutuz basi tena maana inabidi amashukuru pia kwa waliomfikisha alipo na kuvua taji....aibu pia juu....
 
aaaah aaaaah atatoa hadi 'kamasi la sitti' ila umiss ushakwenda....chezea jamii forum
 
kwenye hicho kitabu amemuomba radhi mwanae aliyemkana? huyu bibi bomba anafosi umaarufu sana
 
isejekuwa anamtafutia baba yake pesa ya kampeni
 
hiyo picha pamoja na make up kibao bado anaonekana ni ajuza, angepiga picha asubuhi bila make up inhekuwaje?
 
Sittiiiii sittiiii unalia niiiniiiii wewe mtoto!!?? nina imani hukuhujumiwa ila shoti kati ilikuponza cha muhimu badili jina la kava la kitabu. andika hivi- MBINU na UJANJA wa SITTIII!!!!

Hahahahahaha
 
Sijui kala maharage ya wapi huyu tenaaaaa!!! Nilikuwa namiheshimu sana, na kwa hiki kijarida chake simuheshimu tenaaaaaa! Ewe siti uliyefoji umri upate ubibi bomba ni nani aliyekurogaaaaaaaaaa!
 
Sitti ni next big star in bongo. Ata Wema atasubiri.
 
hiyo picha pamoja na make up kibao bado anaonekana ni ajuza, angepiga picha asubuhi bila make up inhekuwaje?

Tuwekee picha yako basi hapa wee kikongwe uliyeachika kwa ukahaba! unaropoka ropoka kama mende aliyekunywa sumu! msupport mwanamke mwenzako
 
Tuwekee picha yako basi hapa wee kikongwe uliyeachika kwa ukahaba! unaropoka ropoka kama mende aliyekunywa sumu! msupport mwanamke mwenzako

Nitakuwa mpuuzi kuliko wewe kama nitaifikirisha akili yangu kuwa na wewe ni kiumbe mwenye akili timamu, wala sitakujibu chochote zaidi ya hili, kwa kuwa sijawahi kumsikia mende akiropoka, achilia hayo uliyoropoka wewe.
 
Hajawahi kuwa miss Tanzania maana alifanya deception kwa umma.
Hana haki ya kujiita Miss Tanzania 2014 kama bandiko linavyoonesha.
 
Nitakuwa mpuuzi kuliko wewe kama nitaifikirisha akili yangu kuwa na wewe ni kiumbe mwenye akili timamu, wala sitakujibu chochote zaidi ya hili, kwa kuwa sijawahi kumsikia mende akiropoka, achilia hayo uliyoropoka wewe.

Tuwekee picha yako hapa basi we kikongwe!
 
Wabongo kwenu mambo hayaishagi haja hamjasoma contents za kitabu tayari mnaponda badilikeni uhasama mandazi haujengi especially kwa mtu asiyekufahamu last hilo ni suala la entertainment take it easy sio mauaji ya kimbari.
 
Back
Top Bottom