Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

Huyu Bibi bomba mpaka sasa amequalify kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia CCM.
 
Mishe mishe poa alhamdullilah.
Haya nakusubiri.
Umemuona sitti alivyovaa ccm?

Naona wabongo mmepata miss kibangulile...ile mizigo yetu sheikh...hatari sana!!!
 
taji halivuliwi kibabe namna hiyo kuna process zake, lundenga nae atangaze na wampe aliyekuwa namba 2 ila namba 2 yule nae nimesikia ana file bovu sana
 
Habari za jioni watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana, maneno mengi yasio na tija juu ya hili taji la umiss tanzania 2014,,,mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu tanzania, kwa roho safi nimeamua mwenyewe kujivua taji hilo na kuacha wanaye ona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani ,isiwe shida sana kwani sitegemei taji hili ili kuishi!!
10698482_545419468891088_2348298679327464418_n.jpg
1653300_545429888890046_5897448267370661222_n.jpg
10678676_853915514649166_8219695626059995718_n.jpg

kwahiyo hapa umenukuu au wewe ndo Sitti mwenyewe?
 
Samahani wadau mtoto nimezaa nae mim mwenyewe!..ahahahahahaha alnishangaza kukana hana mtoto
 
We jamaa vipi wewe!!?? Kumbe hata wewe una lugha mbovu.

Hujui maana ya maneno "neno lile lile".

Ni wapi niliporudia "neno lile lile"?


Kumekucha hapa,...hapa yupo mtaalamu wa lugha...pale yupo mtaalamu wa "maneno".
 
Anhaaaa!!!!

Kwamba umeelewa sana au kejeri mkuu?
Inakuwaje nikiamua kusema "kila kukicha mambo yaliyojaza vinywa vya watu ni yale yale...umasikini...umasikini...umasikini" Si kusisitiza huko?
Najua unajua kiswahili vizuri kama mwanazuoni.
 
This Sitti chick has got to be the dumbest girl to come down the pike in years.

I mean, what kinda grades did she get in college (if at all she went to college)?

Because she is acting real dumb right about now.

Her refusal to fess up to her lies is an affront to our common-sense sensibilities.

Does she think we are all stupid as she is or something?

I just hope she goes away and we never get to see her lying ass again.

Stupid dumb bitch.



Mkuu taratibu hii ni Bongo banah!
Have a look at first pictue at post no.1. What you find out don't tel nobody!
 
Sitti anabaguliwa kwa sababu si wa dini pendwa. WAGALATIA punguzeni wivu mbona nchi hii mmeifaidi sana toka Uhuru leo hii Sitti kushinda Miss Tanzania imekuwa Nongwa?
 
Sitti anabaguliwa kwa sababu si wa dini pendwa. WAGALATIA punguzeni wivu mbona nchi hii mmeifaidi sana toka Uhuru leo hii Sitti kushinda Miss Tanzania imekuwa Nongwa?

Anabaguliwa wakati katawazwa umiss tayari? Kama kajichanganya kwenye nyaraka zake hao "WAGALATIA" wanahusika vipi?
 
Sitti anabaguliwa kwa sababu si wa dini pendwa. WAGALATIA punguzeni wivu mbona nchi hii mmeifaidi sana toka Uhuru leo hii Sitti kushinda Miss Tanzania imekuwa Nongwa?

Kwani ukiwa na miaka 25 inamaanisha we ni muislamu? Au unataka kututoa nje ya mada?!
 
Ni wapi niliporudia "neno lile lile"?
Ukisema mtu ni "stupid dumb" unachekesha kwa sababu huwezi kuwa dumb usiwe stupid, umerudia maana ile ile, lugha mbovu. Lakini ukisahihishwa haina maana kwamba anaekusahihisha ya kwake hayana mabovu, usimshambulie anaekukosoa, jifunze songa mbele.
 
Back
Top Bottom