MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
Habari za jioni watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana, maneno mengi yasio na tija juu ya hili taji la umiss tanzania 2014,,,mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu tanzania, kwa roho safi nimeamua mwenyewe kujivua taji hilo na kuacha wanaye ona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani ,isiwe shida sana kwani sitegemei taji hili ili kuishi!!
![]()
![]()
![]()
Kubali yaishe Miss CCM Tanzania, Bibi Bomba, macowbell yamekuanika, na mtoto Wako umemsaliti!!