Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

Stupid dumb
Matatizo yetu ya kila siku ya kujieleza ya Mtanzania, kama alivyoyaonyesha Sitti Abbas kwenye mkutano na waandishi.

Ukishasema mtu ni "dumb" huongezi maana yeyote kwa kusema mtu huyo pia ni "stupid" kwa sababu huwezi kuwa "dumb" usiwe "stupid."
 
Well, ndo nimeshaongeza sasa na nimeongeza kwa msisitizo tu na nikijisikia kuongeza nitaongeza tena.

Una jingine?
 
kabinti kenyewe kabaya, hebu ona mashavu hayo kama mkunjo wa t.ako..
 
Matiti yamelala kabisaaa kuonesha kuwa amewahi kunyonyesha. Shame on her
 
wa kwenda rumande wengi mkuu, ile ilikuwa ni miundombinu iliyoshirikisha watu wengi tu...

Ingekuwa nchi za watu huyo ajuza saaizi angekuwa rumande kwanza wkt ujunguzi unaendelea
 
Nimecheki asubuhi hii kwenye hiyo page ya I-94 form travel information ya US, chunguza kipengele cha umri hapo juu
 
Attachments

  • 1414298102554.jpg
    1414298102554.jpg
    55.6 KB · Views: 699
Ingekuwa nchi za watu huyo ajuza saaizi angekuwa rumande kwanza wkt ujunguzi unaendelea
Wewe unaishi pande ipi ya dunia!?
...bora sasa taratibu tunaanza kujua kuwa Tanzania wanaishi binadamu lakini ni tofauti na watu wengine.
 
Back
Top Bottom