Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,035
- 142,952
Ukisema mtu ni "stupid dumb" unachekesha kwa sababu huwezi kuwa dumb usiwe stupid, umerudia maana ile ile, lugha mbovu. Lakini ukisahihishwa haina maana kwamba anaekusahihisha ya kwake hayana mabovu, usimshambulie anaekukosoa, jifunze songa mbele.
Hakuna nilipokosea. Hivyo achana na mimi, jali yako.