Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Habari za jioni watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana, maneno mengi yasio na tija juu ya hili taji la umiss tanzania 2014,,,mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu tanzania, kwa roho safi nimeamua mwenyewe kujivua taji hilo na kuacha wanaye ona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani ,isiwe shida sana kwani sitegemei taji hili ili kuishi!!
10698482_545419468891088_2348298679327464418_n.jpg
1653300_545429888890046_5897448267370661222_n.jpg
10678676_853915514649166_8219695626059995718_n.jpg
 
Acha movie iendelee
 
Attachments

  • 1414278721487.jpg
    1414278721487.jpg
    59.6 KB · Views: 3,112
haya ni ya kweli kwamba amejiuzulu? mimi nitafurahi sana maana sijafurahishwa na huu ushindi tangu pale alipoongea french wakamnyamazia tu na kumpa ushindi. kama vipi wampe yule namba 2 ushindi.
 
Nitaamini habari hizi hadi nitaposikia na wala si kusoma...
 
Nsalu amvaye ni msemaji anekanusha nabkusema kwasasa sitti hatumii mitandao ya kjamii kwa hiyo habari hizo ni uzushi..
 
Hopefully Mods watahamishia hii habari kule celebrity au mchanganyiko coz wengine tuna allergy na hili jukwaa. Sasa hivi zitaanza salamu
.cc Khantwe
 
Boss wangu mzima?
Karibu tumchangie bakhressa

Mzima mimi habari za miaka mingi...?

Nashukuru besti lakini mi sipo kipande hiyo ati...kila la kheri kipenzi!!!
 
This Sitti chick has got to be the dumbest girl to come down the pike in years.

I mean, what kinda grades did she get in college (if at all she went to college)?

Because she is acting real dumb right about now.

Her refusal to fess up to her lies is an affront to our common-sense sensibilities.

Does she think we are all stupid as she is or something?

I just hope she goes away and we never get to see her lying ass again.

Stupid dumb bitch.
 
Miss Tanzania 2014.
 
Attachments

  • 1414283221452.jpg
    1414283221452.jpg
    61.1 KB · Views: 1,677
Nsalu amvaye ni msemaji anekanusha nabkusema kwasasa sitti hatumii mitandao ya kjamii kwa hiyo habari hizo ni uzushi..

Kama ni izushi basi kesi inaendelea hadi atanyosha mikono. Labda anasubiri amalize hela alizopewa ndio ajiuzuru ili akiambiwa arudishe aseme hazipo maana hajaiba.
 
Back
Top Bottom