Inakuwaje wanasema tanzania ni kisiwa cha amani?? Bora uishi gaza ujue moja
Hapana tunatakiwa kuianzisha gaza kwaviongozi wa ccm iliwafaham kwamba Tanzania si mali ya ccm
Inakuwaje wanasema tanzania ni kisiwa cha amani?? Bora uishi gaza ujue moja
https://www.jamiiforums.com/great-t...alipi-na-kwanini-samwel-j-sitta-aaminiwe.htmlSpika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano. Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania .Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Huyu mpumbvu amelewa sifa baada ya kusifiwa kipindi alipokuwa spika wa bunge tanganyika
Mh Sitta, Hofu ya Nini na ITV? Last weekend ulikuwa ndani ya TBC CCM ONE..., Watanzania tunayo haki ya Kusikiliza Midahalo tupate kufahamu.
VIVA ITV na KIGODA CHA MWALIMU.
kwa sita mchungujana prof kabudi alishawataja kwa tabia zao,mi sipat shida na wanasiasa,midahalo ni haki ya wananchi,sasa tatizo ni nini?tbc ni channel ya umma haitak kutuonesha,sasa mtu amerusha mnaanza kumsimanga jamani,hivi wanajua good governennce hawa,mbona dk 45 alikua anahudhuria?wapinzani si wameanza kuonekana hivi karibuni?mbona hatukusikia wapinzani wakilalamika?
Mkuki kwa nguruwe
CCM bado hawajaonja nguvu ya umma
umefika wakati tuanze kuwatia adabu.
Tunauwezo, tunaweza tuanze kuchukuwa hatua dhidi ya mmoja mmoja.
Haiwezekani kamwe mtu kama Lukuvi, Sita, wassira, Mwigulu nk kujifanya wapo juu ya sheria na wanaakili zaidi ya
watanzania wote.