Kwa hiyo bora Lowassa????
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.
Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
This guy was born in 1942.......no more talking just judge yourself.
Tatizo hilo si kwa sita bali kwa wabunge wote maarufu kuanzia mbowe na wengine wengi ukiondoa mzee ndessa,mkono na lowassa
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.
Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Hawez kuwa rais,kwanza mzee,halafu jinga linaloshuka hadhi kila uchao.
This guy was born in 1942.......no more talking just judge yourself.
Tatizo sio Sitta bali ni sisi wenyewe kuamini kuwa kuna mwanasiasa nchi hii atakuwa na huruma na watanzania. Ni wakati sasa wa watanzania wenyewe kuamua ni lipi linatuafaa na si kina Sitta kutuamlia la kufanya. Sitta hakusema toka hewani,huo ni msimamo wa chama na bunge lenyewe. Wapo kimasilahi ya kichama na kibinafsi pia.Humprey na kina Mzee Butiku waendelee kutupa hii awareness ili watanzania kwa wingi wetu tuelewe nini kinaendelea ili tuamue hatima ya Tanzania yetu kama si Tanganyika na Zanzibar.
Lidikteta hilo halifai kamwe!.
Kwani umelemaa mpaka uitaji kunyooshwa?(jisemee nafsi yako).