Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

ametolea mfano kama mwizi kaiba simu na watu wameanza kumkimbiza kwa bahati nzuri hakushikwa kaenda kuiuza hiyo simu kwa mtu mwingine na yule mwizi akaiuza hiyo simu kwa sh. 100,000 na wewe ukamlipa kwanza sh. 60,000
akaulize usipomlipe hiyo sh.40,000 atakuwa na haki ya kwenda makamani? hiyo ndivyo ilivyokuwa hata kwa dowans
 
nimeona kaichanachana dowans kweli, bado huyu mtu si wakumuamini sana, unafiki umemjaa, urais 2015 unatafutwa kwa nguvu.
 
Nimeandika mara nyingi hapa JF,CCM hakuna mtu aliyesafi,wanachofanya ni kuzudiana tu...uwezi fananisha EL,RA na Sitta..yeye ni fisadi njaa,alishindwa kushika network anawaonea wivu wenzie...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Dah! Huyu angekuwa slaa angeambiwa mchochezi! Huyo ni ccm na ni waziri wa serikali! MS ritz na FF tuambieni kunanini hapo?
 
ICC ilikuwa hapa hapa nchini...... Movenpick ...... chini ya ufadhili wa MAFISADI....... Hakuna Kesi hapo
 
ICC ilikuwa hapa hapa nchini...... Movenpick ...... chini ya ufadhili wa MAFISADI....... Hakuna Kesi hapo
 
Mbona kama kuna thread kama hiii zaidi ya mbili na bado zinafunguliwa au ndio ule mkakati umetimia!
 
Juzi kati kulikua na Songombingo kwa Jirani yangu hapa mtaani,
Mpangaji mmoja baada ya kuona bili ya maji imepanda akaamua kumtafuta mtu mwingine aendelee na mkataba wake ili yeye akapange kwengine.
Tatizo ni kua hakumshirikisha mwenye nyumba mpaka mpangaji mpya alivyohamia ndio mwenyenyumba akashtuka jamaa mwengine anatokea ndani.
Richmond walivyoshindwa kazi jukumu la kumtafuta mzabuni mwengine lilikua la Serikali na sio Richmond.
 
Back
Top Bottom