Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Dah! Kwa staili hiyo serikali ilifika pabaya sana! Viongozi walifika pabaya sana, na walijua ni halali kwao kufanya wanachotaka wao
 
ametolea mfano kama mwizi kaiba simu na watu wameanza kumkimbiza kwa bahati nzuri hakushikwa kaenda kuiuza hiyo simu kwa mtu mwingine na yule mwizi akaiuza hiyo simu kwa sh. 100,000 na wewe ukamlipa kwanza sh. 60,000
akaulize usipomlipe hiyo sh.40,000 atakuwa na haki ya kwenda makamani? hiyo ndivyo ilivyokuwa hata kwa dowans

huo ni mfano wa chekechea. Atoe upuuzi wake.
 
Dowans ni wahuni tuu ie kikundi cha watu wachache ambao wmaeridhi mkataba batili
Ni hayo niliyoyapata toka kwa Six
 
Nimeandika mara nyingi hapa JF,CCM hakuna mtu aliyesafi,wanachofanya ni kuzudiana tu...uwezi fananisha EL,RA na Sitta..yeye ni fisadi njaa,alishindwa kushika network anawaonea wivu wenzie...

Sitta hachukii ufisadi ila anawachukia mafisadi. Ndio maana alidiriki kuendelea kukaa nyumba ya spika wakati yeye sio spika.
 
Hii nchi kweli ni Usanii tu, hata kitendo cha Sitta kupinga serikali wakati yuko serikalini na hachukuliwi hatua yeyote inaonyesha jinsi gani tulivyo na serikali ya kisanii tu. Kila mtu anasema chake.
 
Sitta ni msanii sana aelewiki ni mnafiki..sasa anamlalamikia nini wakati nae ni sehemu ya serikali.
 
Mkuu ninachokufagilia ukishaona umeabika unaingia mitini kimya kimya...

Nimeabika na nini sasa Magwanda bana, Sitta anacheza na akili za mambumbumbu..

kama anaona kuna ufisadi kwa nini bado waziri? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!..
 
Dowans, dowans, Dowans........

Du wanaCHADEMA kwa PROPAGANDA za uongo ndio wenyewe. Topic ni Afrika Mashariki, mara mmekurupuka na kuja na Topic yenu Dowans.

Uongo kama huu ndio tumejiandaa kupambana nao mpaka 2013. Mwaka huu mtaipata, dakika 45 zimeisha na mmeingia mtini.

Tupeni Summary ya mazungumzo hususan katika hilo la Dowans.
 
Acha kupotosha mada ni masuala ya Afrika Mashariki sio Dowans.
miafrika bana
Yaani Pro-CDM JF kazi ni kukalili tu kila wakimuona Sitta, wenyewe wanajua ni Dowans tu.
Miafrika bana
Wape magwanda wenzeko Update za Dowans, ulizowaambia wanasubiri dakika 45 zinaisha
Dakika 45 zinaisha..
Vipi kuhusu Dowans, kasemaje?
Mkuu, mbona unatoka nje ya mada? Mada ni Dowans ebu pitia heading ya hii thread
Tupe Update kasemaje kuhusu Dowans?
Acha uwongo mbona unamlisha maneno Sitta?
Sitta ni msanii sana aelewiki ni mnafiki..sasa anamlalamikia nini wakati nae ni sehemu ya serikali.
Nimeabika na nini sasa Magwanda bana, Sitta anacheza na akili za mambumbu.
kama anaona kuna ufisadi kwa nini bado waziri? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!..

Kweli mpuuzi hana haya ! Post zote hizo na hata kuomba msamaha hauko tayari ! Kaazi kweli kweli !
 
Sitta hafai kuamini, ni mnafiki sana.

eeh si mnafki kama wewe!! watu wazima mmezidiwa mnaanza kupayuka ooh eeh huku uwaziri anautaka nyambaaaaaf!&! waambieni na hao waropokaji nape and the fools band kuwa chama hakijengwi kwa makelele muache macho
 
Acha kupotosha mada ni masuala ya Afrika Mashariki sio Dowans.

miafrika bana

Ona unavyo jichanganya ukahaba/ufisadi/unafiki/ulafi ni pacha sifa/tabiya nikutokuwa naaibu binadamu ataungekuwa na elimu mali za samani ukikosa aibu wewe sawa na munyama au mududu kitu kinacho fanya mtuu asifanye kosa niaibu kwakuogopa akijulikana utuwake utashuka/kuzalauliwa au kuogopa kumukosea mngu ukikosa aibu hayo yote huwezi fikiliya atakutembea mtupu unaweza jiulize unayo yatenda unaendana nayo kama sawa unaweza ukaendeleya nayo ni utupuu
 
Nimeabika na nini sasa Magwanda bana, Sitta anacheza na akili za mambumbumbu..

kama anaona kuna ufisadi kwa nini bado waziri? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!..

bado ni waziri ili apate wasaa wa kuwa-un-fisadize vizur. Gamba lishakomaa mno, kuling'oa lazima ulikung'ute mumo kwa humo
 
Kweli mpuuzi hana haya ! Post zote hizo na hata kuomba msamaha hauko tayari ! Kaazi kweli kweli !

Ha! Ha! Ha! Yaani mimi nikuombe msamaha wewe akili masaburi..wachekesha
 
Back
Top Bottom