Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Shurti waanzie mbali ilikumleta kwenye 18 akitokea pembeni. Atakapoipiga V-cross uwe mtafutano.
Sabono wametaka aondolewe katika CCM, sasa sijui Sitta watamwambiaje,
 
Shurti waanzie mbali ilikumleta kwenye 18 akitokea pembeni. Atakapoipiga V-cross uwe mtafutano.
Sabodo wametaka aondolewe katika CCM, sasa sijui Sitta watamwambiaje,


Mkuu hao ccm wanamsaidia nini sabod au yeye ndoanawachangia ccm vitisho vyakumuondowa uwanachama havimupunguzii kitu sema kuondoka sabodo ccm itapungukiwa mapato
 
anasema yy asili yake ni masikini sana! Babake alikuwa mzee wa kanisa, na mamake muislamu!
 
Mkuu hao ccm wanamsaidia nini sabod au yeye ndoanawachangia ccm vitisho vyakumuondowa uwanachama havimupunguzii kitu sema kuondoka sabodo ccm itapungukiwa mapato

Mkuu, mbona unatoka nje ya mada? Mada ni Dowans ebu pitia heading ya hii thread
 
mzee anawasema wenzake waache kuiba kwasababu wameshazeeka, waachie wajukuu zao rasilimali za kuwawezesha waishi vizuri
 
Sitta anasema jahanamu kuna sehemu ina moto mkali sana na hii imeandaliwa kwa ajili ya watu wanafiki. yeye anasema hakutegemea kama Lowassa angejiuzulu. Hivi ni kweli hakujua ama ni unafiki? Kuna maswali mengi kuhusu jinsi alivyoli-handle hili swala Bungeni, hivi ni kweli alikuwa na ugomvi na Lowassa na pengine ametuingiza kwenye hasara hii kwa kupika jungu ama kweli Lowassa alishiriki kwenye ufisadi? Hivi ni kweli kwamba Sitta alitumwa na JK aifupishe safari ya ENL kisiasa? Inasemekana huyu Mzee ni bingwa sana wa fitna, ukiunganisha na JK si inakuwa balaa kabisa hapo?

Hivi ni kweli huyu bwana anaamini kwa dhati katika kutetea wanyonge? Hii falsafa alianza kuitetea lini? Je anaishi maisha ya kutetea wanyonge.

Kuna fununu kuwa eti kuna watu wanamshawishi achukue Urais, je ni kweli atatufaa? Hivi akiwa Rais huyu si atawafunga akina Lowassa?

Ahsanteni,
Zul.
 
Haya wale waliosema kuwa dk 45 znaisha,bado mda upo angalieni anaongelea hyo do-once,2fuatilie jamani,hv jaman nan anamfaham mmiliki wa dowans
 
Tupe Update kasemaje kuhusu Dowans?

Anasema dowans ni wahuni tu, Tanesco hawakushiriki kuidhinisha richmond. Kikundi kilichoundwa na serikali kulipitisha richmond kwa kupunguza vigezo kutoka 24 Hadi 4
 
Mawaziri walikubaliana kuipa dowans miezi 12, waziri husika akapitisha miezi 24
 
Back
Top Bottom