Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Amefanya vizuri kuondoa kiwingu. Njia nyeupe kwa vijana !!! Jitokezeni fanyeni vitu vya kueleweka !!
 
watu wenye hoja nyepesi na kufuata mkumbo ndo utawasikia sitta mnafiki!umepanda daladala umesikia neno basi unalibeba na kulifanya la kwako!mnakosea!ukija na mtazamo wako twambia unafiki wa sitta ni upi?????????????kusema ukweli ndo unafiki?vita ya ufisadi ni ya sitta>?miafrika ndivyo ilivyo!marytina njoo na proof za huo upupu wako!unafiki wa sitta ni upi??????????????
 
Kikwete alipokuwa alipogombe 2005 walisema ni kijana ingawa alikuwa around 55.Kwa mujibu wa siasa za Tanzania Membe pia ni kijana.
 
watu wenye hoja nyepesi na kufuata mkumbo ndo utawasikia sitta mnafiki!umepanda daladala umesikia neno basi unalibeba na kulifanya la kwako!mnakosea!ukija na mtazamo wako twambia unafiki wa sitta ni upi?????????????kusema ukweli ndo unafiki?vita ya ufisadi ni ya sitta>?miafrika ndivyo ilivyo!marytina njoo na proof za huo upupu wako!unafiki wa sitta ni upi??????????????
1.alijenga ofisi ya spika urambo wakati anajua hawezi kuwa spika milele
2.alizima mjadala wa richmond bila maazimio ya bunge kutekelezwa yote
3.anaishi kwenye nyumba ya spika wakati yeye sio spika
4.alianzisha chama ndani ya chama(ccj)
 
Hivi kama SITTA hatumuelewi tutakuwa tunamuonea
kama kuna wana ccm wenye uzalendo ni pamoja na SITTA
lakini ccm haiwapendi watu kama sir SITTA
 
Nachomshangaa huyu Mzee 6 ni kwamba analalamika sahani ni chafu na bado anaendelea kula humohumo ndani ya sahani chafu.Hizi siasa zetu zinatia kinyaa.Watu wana kauli za kama mtu anaetembea hatua moja mbele mbili nyuma sijui kama atafika aendako, kama sio atapitiliza nyuma ya alipo.Poleni wanathithiem kwa kukumbatia sahani yenye mavi hukubado mwala nayo.Inaonyesha msosi uliomo sahanini ni mtamu sana hamuwezi kufanya maamuzi magumu ya kuchukua sahani nyingine au kuiosha sahani mnayosema ni chafu.
 
Huyu Mzee anazeeka vibay. Ameanza kuogopa vyama vya msimu.
 
  • Ahusisha ugonjwa wa Mwakyembe na kulishwa sumu
  • Asema kuengulia kwake uspika mkakati wa mafisadi
  • Alazimika kubadili namba za simu kukwepa vitisho
  • Viongozi CCM wana roho ya kuku, wepesi kubadili mawazo kwa ajili ya pesa
  • Akiri kuifahamu CCJ na anaiongelea vizuri ingawa anakanusha kuhusika uanzishwaji wake
  • Amekubali nguvu ya Chadema ilivyoonyeshwa Igunga na kusifia itikadi zake ila hayuko tayari kuhama CCM

Source: Majira
 
Ameumia sana roho huyu Sitta kushindwa na Mwanamke. Mfumo Dume.
 
Ameumia sana roho huyu Sitta kushindwa na Mwanamke. Mfumo Dume.

Issue si mfumo dume au la ila ni sera tu za kumtoa. Maana katika hali ya kawaida kabisa ni wazi kwamba Sitta anauwezo kuliko Makinda. Na hii haitokani na kwamba Sitta ni mwanaume au la. Hatuhitaji Profesa kuliiona hili. Bunge la sasa analosimamia Makinda si sawa na bunge alilokuwa anaendesha Sitta....!!! Kwenye ukweli tusiweke suala la mifumo dume au jike.
 

Issue si mfumo dume au la ila ni sera tu za kumtoa. Maana katika hali ya kawaida kabisa ni wazi kwamba Sitta anauwezo kuliko Makinda. Na hii haitokani na kwamba Sitta ni mwanaume au la. Hatuhitaji Profesa kuliiona hili. Bunge la sasa analosimamia Makinda si sawa na bunge alilokuwa anaendesha Sitta....!!! Kwenye ukweli tusiweke suala la mifumo dume au jike.

Inawezekana kabisa unalosema ni sahihi, lakini chukulia kama ni kweli uyasemayo, utolewe sehemu muhimu kama ile halafu awekwe mwanamke ambae alikuwa ni naibu wako, na wapo wengine wenye "uwezo" zaidi, huoni kuwa huyo mwanamke anazicheza karataka zake vizuri?

Tanzania hii kama uijuavyo, vyeo vidogo tu maofisini, watu wanarogana wanatiliana mafitna, wanafanyiana kila hila, itakuwa pale? Inatakiwa mtu uwe "tough" kufika pale.

Naona kama Makinda kawekwa basi hiyo ndio inayomuuma zaidi Sitta. Inarudi pale pale "Mfumo Dume".
 
Siasa ni mchezo mchafu, usione kakaa anayasema yote hayo ukafikiri hayumo, yumo alizidiwa tu.

Sitta hajaanza kulalamikia mambo ovyoooooooo yanayoendelea ndani ya CCM. Ni Sitta huyu aliyekubali madudu mengi kama ya Richmond na Dowens yafumuke bungeni, vinginevyo ingabaki minong'ono tu. Pamoja na kumwengua Sitta, vita alivyovianzisha vinaendelea licha ya juhudi za hao kuwavuta makoti nyuma wasiendelee mbele.
 
Mkuu CS, anayesema hovyo kuhusu Magamba si Sitta peke yake, bali wako wengi. Wenyewe Magamba wameamua kuwaita wasema ukweli ndani ya chama kile "wanafiki" na wale walioamua kuuchuna ndio wanaonekana wakweli. Sasa idadi ya wanafiki ndani ya Magamba inazidi kuongezeka.

~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~



HOFU ya kuondolewa madarakani kwa Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao, imezidi kuwakumba viongozi na makada mbalimbali wa chama hicho kutokana na mwenendo usioridhisha wa utawala wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

Mwanasiasa mkongwe na Waziri wa zamani Joseph Mungai, amesema endapo viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) hawatakuwa makini kuwatumikia watu, chama hicho kitaondolewa madarakani katika uchaguzi ujao.

Mungai ambaye ni mwanasiasa mkongwe wa CCM alisema hayo jana asubuhi wakati akizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya nchi kupitia redio moja ya jijini Dar es Salaam.

Alisema ni vema viongozi wakazingatia na kutimiza kile kilichowafanya Watanzania wakakipigia kura, la sivyo watavigeukia vyama vingine vinavyoonyesha siasa nzuri.

“CCM ijifahamu kwamba wananchi ndiyo wanaopiga kura na wanaweza kuitoa madarakani kama haitafanya vizuri; kwa hiyo ni matumaini yangu kwamba viongozi wa chama watakaa wakijua kuwa utendaji wetu ni muhimu kwa kuzingatia mambo mazuri yanayowapendeza Watanzania ili kuendelea kutuchagua,” alisema Mungai.

Kuhusu hoja ya kutenganisha biashara na siasa, Mungai alisema haoni maana yoyote kuhusu suala hilo kwani Kikatiba kugombea nafasi ya uongozi ni haki ya kila mtu.

“Binafsi nashindwa kuelewa kutenganisha biashara na siasa kwani kugombea ubunge au udiwani ni haki ya kila mtu,” alisema Mungai.
Alieleza kuwa cha muhimu ni kwamba anayeunda serikali (Rais) ana haki ya kuweka masharti ya aina ya watu anaotaka kuwa mawaziri.

Kauli ya Mungai, inakuja siku chache tu baada ya kiongozi mwingine wa zamani wa serikali, Joseph Butiku, kutabiri anguko la CCM iwapo itashindwa kukabiliana na hali mbaya ya mmomonyoko wa maadili ndani ya chama na serikalini.

Butiku alikiri kwamba hali na vitendo vinavyofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM ni vya aibu na kutolea mfano wa vitendo vya rushwa, ubabe, matumizi makubwa ya fedha na nguvu za dola katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora kama dalili mbaya kwa chama makini kama hicho.

Hali ya kisiasa ndani ya CCM imekuwa tete kwa miaka ya hivi karibuni ambapo taifa limeshuhudia viongozi wake waandamizi wakishambuliana waziwazi kwa tuhuma katika kile kinachoelezewa kama falsafa ya kuvua gamba.





[TD="bgcolor: #FFFFFF"]
Mungai aibuka, aionya CCM

na Hellen Ngoromera
Tanzania Daima


[/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #FFFFFF"][/TD]
 
  • Alazimika kubadili namba za simu kukwepa vitisho

Kwahiyo tukitishiwa maisha tubadili simu siyo??... haya ni maneno ya mtu mzima mwenye wajukuu aliyewahi kuwa waziri kipindi cha nyerere anashindwa kuamini serikali aliyomo hadi anabadili simu, lakini hataki kutoka humo.... MNAFIKI!![/QUOTE]

  • Viongozi CCM wana roho ya kuku, wepesi kubadili mawazo kwa ajili ya pesa

kwani yeye ni kiongozi wa chama gani??? ACTUALLY YEYE NI BATA KABISAAAAAAAAAAAAA, SI VYEMA KUMTUSI MTU MZIMA LAKINI AKIANZA, KUNA KAUTAMU FULANI KUMJIBU ANAYOSTAHILI, AMEKOSA ADABU KUTUKANA WENZAKE,

  • Amekubali nguvu ya Chadema ilivyoonyeshwa Igunga na kusifia itikadi zake ila hayuko tayari kuhama CCM

Source: Majira

MNAFIKI 269071_252108698138204_100000172265800_1269805_6999157_n.jpg 269071_252108698138204_100000172265800_1269805_6999157_n.jpg
 
Back
Top Bottom